We mpuuzi kupima unaogopa ila kudinya malaya huogopi..shwainNaogopa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mpuuzi kupima unaogopa ila kudinya malaya huogopi..shwainNaogopa mkuu
Hizo ARV ndio zinakwenda kukumaliza.Haisaidii ndugu,kugoma kupima haibadilishi wewe kuwa negative,kujua mapema Ni vizuri kwani kinga yako itakua bado ipo juu,kwa sasa yeyote anayekutwa na maambukizi kulingana na tafiti za shirika la afya duniani(who) anashauriwa kuanza matumizi ya vidonge (arv),hii imeleta matokeo mazuri kwa waathirika baada ya tafiti
Muongo nani sasa?
Mkuu kwani ulipima ukapata uhakika??Noted.