Nahisi nimeathirika na VVU

Kaka usiwe muoga hao hawanaga UKIMWI , wenye UKIMWI ni hawa binti zetu
 
Kama ulichapa goli moja la fasta unaweza salimika lakini kama ulihamia ukawa una simamia na vidole wafwa.
 
Nilivyosikia Ambiance, nikajua tu utakuwa mwanafunzi wa Vyuo ambavyo vinazunguka sinza.

Anyway, hayo ndio maneo ya wanafunzi, ukiambikzwa au ukitoka salama, ukimaliza chuo utaenda kujiuliza na ndugu zako huko kijijni.
 
Hizo ARV ndio zinakwenda kukumaliza.
 
Usihisi lolote toa hofu unachotakiwa ni kwenda VCT upate ushauri nasaha then upime afya yako majibu yakiwa vzur unaweza kuambiwa kirudia baada ya miezi 3. Endapo watadhibitisha unao utapewa ushauri nasaha na kitu gani ufanye.
 
Bora UKIMWI kuliko Magojwa mengine kama cancer na kisukari, sema ni gonjwa la aibu na unavyozidi Kuchelewa kuchukua hatua ndivyo utakapokuja kujua kwa nini hiligonjwa lilifananishwa na joka.
Kinga ya mwili itapungua na utaumwa magonjwa kuanzia fluu, malaria,kikohozi TB,KS,herpes na mengine mengi.Na utateseka Sana.

We Pima, anza kuchukua ARVs. Na Hamna mtu atajua kuwa Una HIV. Kuna watu wanadunda na vitambi vyao wana HIV.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hio hali ilishawai kunitokea , yaan nilikua nakonda bure bure na mawazo had mwil ukawa unadhoofu , nilipata ujasiri nikasema ngoja nikapime na nilipime nikawa nipo safi kabisa had leo nipo makin sana , anyway nataka kukuseidia km utaona ugumu kupima hospital nitafte mm nitakupima bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKIMWI ni ugonjwa wa kisaikolojia, ukiuwaza ndio unachochea hormone.

Ugeni wako wa kupiga maraya unakupa pressure, kwa wakongwe kama mimi ni kitu cha kawaida saaana icho hakitakiw hata kujadiliwa.

Unalalamika kununua ukimwi kwa 15 wakati watu wananunua kifo kwa 400 nauli ya dala dala... anakutana na semi uso kwa uso.

Acha wenge tafuta mke weka ndani ukishIndwa tumia Condomu unaaamsha dude hata kwa mwenye skendo.

UKIMWI sio rahisi kuupata kama unavyoufikiria. kampeni za NGO's za kusaidia waathirika zisikupagawishe....

Watanzania tunakufa kwa magonjwa yanayotibika kuliko yasiyotibika.

Usilale bila neti.
Ukimwi ni sanaa ya walioshika mpini ingawaje imekua tasnia kwa jamii

Sent from "La -Vista"
 
Amakweli Biblia ina sema "kuna njia ionekanayo machoni pa mtu kuwa ni njema kumbe ni njia ya mauti" unaona ulikofikia sasa!!! Haujali hata muda wako wa kukaa darasani, hauhesabu garama za shida ulizopata ukianzia std 1 hadi ulipofikia, hauwaonei hata wazazi wako huruma, ni mara ngapi wamejinyima kwaajili yako ili upate elimu bora leo hii unaona malaya ndio dili.

Eti hakuvaa chupi, mara kagusisha matako kwenye mboo, huku unamnunulia bia, pale unalipa 15000/= upumbavu mtupu usio na mbele wala nyuma. Ona ulivyokosa amani na kujawa na mashaka sasa. Ungetoa hizo hela sadaka Mungu angekukumbuka na utakaowapa wangekuombea.

Hata ungemtumia mama sukari akanyw na baba yako wangekushukuru sana na ungebarikiwa kuliko. Ila usijali. Kapime na umrudie Mungu atakusamehe. Na usirudie tena huo uchizi na ujue hakuna siku mboo ulishiba km iko vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…