Nahisi nimeathirika na VVU

Ukimwi ahupatikano kizembe hvo ww endelea na mishe zako sahau kama hakijatokea kitu
 
yaani ulikuwa unalalamika humu kuwa shemeji yako hakupi hela kumbe ulitaka akupe akagawe hapo ambiance??????😀😀😀😀😀
kweli shemeji yako aliona mbali......

hongera lakini kwa kufurahisha genge na stori za kutunga...
 
we jamaa si ndio jana walikuwa wanakupaisha hewani atii
 
Achana na magonjwa ya kufikirika ambayo mzungu anawahadaa wapumbavu na wajinga?

UKIMWI upo ila VVU HAKUNA. UKIMWI watu wengi wanao ila VIRUSI VYA UKIMWI HAKUNA.

Ishi kwa amani, achana na hayo mambo kuathirika.
 
Nasikia ukiwahi ndani ya muda Fulani unapona sijui ukweli ukoje?
 
Wazazi wameuza Mbuzi nyumbani ili wamlete mbuzi mwingine mjini kununulia watu bia. Kama nikweli nakuhakikishia utakuja kujuta zaidi ya unavyojuta sasa, ngoja wazee wamalize jukumu Lao lakulipa Ada utaona.
 
Achana na magonjwa ya kufikirika ambayo mzungu anawahadaa wapumbavu na wajinga?

UKIMWI upo ila VVU HAKUNA. UKIMWI watu wengi wanao ila VIRUSI VYA UKIMWI HAKUNA.

Ishi kwa amani, achana na hayo mambo kuathirika.

Watu kama nyinyi ndio mnaamini pia kuwa, Global warming ni uzushi wa wazungu!
 
acha uongo wewe huwezi kumtmba Malaya bila kondomu
 
Hahahaahahahahahahwhah daaaah[emoji115] kumbe ndo zake

Ila yashawahi kunitokeaga haya

Nilikuwa DIT enzi hizo 2011 nikaenda pale kona bar

Mi nilienda direct kuopoa mlupo maana nilichoka kupiga nyeto enzi hizo .

Nikazama nae chemba nikamaliza kazi

Baada ya shughuli nikaanza kujuta nikajiona mjinga sana japo kuwa nilitumia zana but sikujimini kama nipo mzima na ilinitoka kama 35000 ndani ya masaa mawili tu
Hapo ni plus nauli ya bajaj maana nilirudi hostel saa 7 asubuhi nikaamkia darasani

Tangu siku hiyo nilijua na mimi ninao so nikiumwa kidogo nafadhaika sana

Nikaamua kwenda angaza kupima mara nilishasema liwalo na liwe(kwa sauti ya pinda)

Majibu yalikuwa fresh tu so tangu siku hiyo niameacha michezo ya hatari

Nenda kapime kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…