Nahisi nimeathirika na VVU

Sema Hakya Mungu
 
kuwa muungwana dushe umeitaja kweupe pee eti "mboo" na papuchi umeificha ficha kwa kuiita "k" wakati papuchi tayari imeshafichwa kwenye mwili wa mwanamke kwanini usingeiacha hadharani tuu kila mtu aione.
 
Ishawah nitokea hii maeneo ya mianzin Arusha sikumbuki chimbo[emoji1] ...nilikondaaa kwa mawazoo nikajipelekaga mwnyw kwa babu ngarenaro pemben kuna kituo cha ushauri nasaa na kupima ilikuwa kipindi cha baridi ila full kusweet...
Mengine Mungu anatuvusha...hakuna ujanjaujanja.
 
nilipita pale jpili.. wahudumu wenyew wamezagaa kama matrafiki huku barabaran wanatafutaa wateja kwanguvu
 
We subiri tu mda ufike uanze kuharisha hvyo na vidonda kibao mwilini, na utakuwa umewafedhesha sana wazazi wako
 
Sio kitu kizuri ulichokifanya
Usichukulie serious ndugu comments za baadh ya watu unaweza pata mfadhaiko mkubwa tena kwa wasiwasi wa situation uliyonayo, wengi humu wamepinda wanaakaribia kuvunjika maisha yao ni zig zag ndo mana hata advice zao ni zig zag
 
Jibashirie wew mwenyewe kuwa tayari Unavyo hivyo viroboto vya Vvu,,

Kwa maana yule mwanamke yliyebeba kwa100% atakuwa amesha jijua kuwa anavyo viroboto.

Alafu guest house ya Tsh. 5000/= kweli? Huko nako hujatoka bure jibashirie kuanzia sasa mwili wako utaanza kutoa maukurutu, kurutu,,

Ushauri ukipenda mitumba ya bei rahisi iliyorundikwa mezani na kuuzwa kwa bei ya Tsh.100_ 1000/= ujue hiyo Imetumika sana,, hata huyo demu wako atakuwa na Viroboto na tayari kesha kuambukiza.
 
Nenda kapime wangu hawa Malaya wa ambience wengi waathirika lakini daah ukimwi sio kitu kizuri aisee nashukuru Mungu mm najali afya yangu yani sikurupuki hovyo na kila mwanaume na pia nina mazoea ya kucheki afya yangu kila mara
 
Yaan hata condom haukukumbuka?
Afu unaambiwa kapime unasema unaogopa sasa unafikiri utapata msaada gani mbadala jombaa. Jivike ujasiri nenda kapime ili ujue kama umeathirika au hapana na baada ya hapo ndo utajua cha kufanya.
 
Kwanza ondoa hofu....coz VVU sio UKIMWI hata kama utapima ukute umeathirika kuwa na VVU kwa zama hizi sio kufa....wapo weengi nawafahamu wanadunda tuu...wanakufa wazima wao wapo tuu....pili nenda Angaza iliyo karibu na wewe kule utakutana MSHAURI NASAHA ALIYESOMEA masuala ya counselling....atakupa ushauri mzuri zaidi ya huu uliopata humu.....mwisho kabisa Mungu huwa ana makusudi yake kuruhusu kila jambo maishani mwetu....yaweza kuwa ndo njia pekee ya kukurejesha kwake ukawa mcha Mungu....ukatumia nguvu na ujana wako kumtumikia bila kujalisha ni majibu gani utayapata
.......Usisahau.....kuwa na VVU SIO KUFA.....Maisha yataendelea but u have to change a life style.....kumtumikia Mungu kunalipa zaidi.....na uhakika na pepo pia upo!
 
Ila we jamaa me nakulaumu kama unadai unasoma itakuwaje ukose self control au hukusoma life skills mim kutokana story yako wazo la kujenga kwako sina ungeuliza kipindi huyo dem anakuijia af mwanaume utalainikaje kizembe hivyo?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…