Nahisi nimechokwa mwenzenu.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Sijui nifanyaje,yani kila nikiznguana kidogo na gelofrendi wangu,bac ye anakimbilia kuniambia tuachane,nkimbembeleza kdogo anajirudi..sa cjui hz ndo dalili za kuchokwa au vp wakuu?
 
Na wewe kwa nini ukorofishane nae sasa
Hujamjua weakness zake na wewe ukaziepuka
 
inatokeaga tu mkuu..c unajua me nae ni binadamu.

halafu hiyo ya kutishia huwa siipendi aise
Mambo gani bana ya kutishia kuachana na kubembelezana kila siku
Ashakujua kuwa umekufa umeoza kwake so huwa anapenda kukutingishia kiberiti
 
lol ndio yule uliyemsifia ana sauti nzurii??
labda sifa zimemlevya aisee au anatingisha kibiriti tuu.
mvutie kasi bana usidecide chochote ni mapema nw.
 
Kuachana siku hizi imekuwa kama fashion. Kugombana, kurudia, kukasirikiana - nadhani tunahitaji kujifunza maisha ya mapenzi ama tunaangalia sana luninga
 
Sijui nifanyaje,yani kila nikiznguana kidogo na gelofrendi wangu,bac ye anakimbilia kuniambia tuachane,nkimbembeleza kdogo anajirudi..sa cjui hz ndo dalili za kuchokwa au vp wakuu?
unafahamu lile boya la kuogelea, unafahamu linavyoonewa na mawimbi ya baharini, basi hauna tofauti nalo
 
Kuachana siku hizi imekuwa kama fashion. Kugombana, kurudia, kukasirikiana - nadhani tunahitaji kujifunza maisha ya mapenzi ama tunaangalia sana luninga

hlo nalo neno mkuu.
 
unafahamu lile boya la kuogelea, unafahamu linavyoonewa na mawimbi ya baharini, basi hauna tofauti nalo

sawa me boya,lakin una maana hapo mkuu?
 
Huyo wakukimbilia tuachane basi ujuwe unamkosea, mpe kile kitu wanawake wanapenda afu utaona kama atasema tena hayo.
 
Dalili ya mvua mawingu.. Usisubiri manyunyu ndio ubebe mwamvuli.
 
Ebu jikaze kiume akisema tuachane mwambie sawa tushaachana,mbona unaelekea kama hujiamini? staki mwenzie basi asikupelekeshe.
 
subiri kongosho aje,huwa naona anatoa sn ushauri kwa watu wenye tatizo kama lako.
 
siku ikitokea mmekorofishana tena,akisema tuachane mwambie sawa...halafu uone atakavyoanza kulalamika uje kama anakupenda
 
anakutishia na wewe cku moja mtishie kavu kavu!kama week tuone atafanyaje!
 
Sasa si umuache unachon'gan'gania ambacho unahisi hautokipata kwa wengine ni kipi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…