Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inatokeaga tu mkuu..c unajua me nae ni binadamu.
unafahamu lile boya la kuogelea, unafahamu linavyoonewa na mawimbi ya baharini, basi hauna tofauti naloSijui nifanyaje,yani kila nikiznguana kidogo na gelofrendi wangu,bac ye anakimbilia kuniambia tuachane,nkimbembeleza kdogo anajirudi..sa cjui hz ndo dalili za kuchokwa au vp wakuu?