Halafu hii miandiko yenu ya kwenye simu msilete humu.
wewe unata miandiko ya wapi?
Sijui nifanyaje,yani kila nikiznguana kidogo na gelofrendi wangu,bac ye anakimbilia kuniambia tuachane,nkimbembeleza kdogo anajirudi..sa cjui hz ndo dalili za kuchokwa au vp wakuu?
hlo nalo neno mkuu.
Hiyo ni dalili kubwa ya kuchokwa na pia ni dalili ya kuwa huyo mpenzi wako hana mapenzi ya dhati na pia hana nia sana ya kuwa na wewe hapo baadae. Mchunguze huyo mtu kwa makini sana cuz kama kweli anakupenda hawezi kukutishia kukuacha na badala yake utakapokosea atakurekebisha ili muendelee kuwa pamoja
Sijui nifanyaje,yani kila nikiznguana kidogo na gelofrendi wangu,bac ye anakimbilia kuniambia tuachane,nkimbembeleza kdogo anajirudi..sa cjui hz ndo dalili za kuchokwa au vp wakuu?
Nikwambie kitu,hata siku 1 usikubali mchezo wa dem kukuambia tuachane halafu eti umtafute! Ni mbaya sana! Akumulikae mchana,usiku atakumaliza! Piga chini! Mi nilishaapa,mwanamke akijaribu tu kutamka tuachane ni siku hiyohiyo na namba na delete! Achana nae huyo!