Nahisi nimechokwa mwenzenu.

Nahisi nimechokwa mwenzenu.

Mapenzi ya sinema za kihindi matamu sana. Anataka umimbie nawe hujajua tu!!!!
 
Iko siku atakuacha kiukweli kweli... kauli gani hizo..
Siku mkiwa kwenye good mood hebu muulize kwa nn huwa anakwambia hayo maneno pale anapokuwa ameghafirika?
 
mkuu dawa ya moto moto...siku akikwambia tuachane mwambie poaaa,then kulaa konaa usibembeleze,mcheck siku ya kwanza mara wiki,mara wiki mbilii,sahau kamata mwingineee....awee mkaliii zaidi hata ukikutana nae ukiwa na mpyaa anazimaa fegiii.ushaurii acha kugombana gombanaa na mpenzi wako gals need care na kudekezwaaa
 
Sijui nifanyaje,yani kila nikiznguana kidogo na gelofrendi wangu,bac ye anakimbilia kuniambia tuachane,nkimbembeleza kdogo anajirudi..sa cjui hz ndo dalili za kuchokwa au vp wakuu?

Hiyo ni dalili kubwa ya kuchokwa na pia ni dalili ya kuwa huyo mpenzi wako hana mapenzi ya dhati na pia hana nia sana ya kuwa na wewe hapo baadae. Mchunguze huyo mtu kwa makini sana cuz kama kweli anakupenda hawezi kukutishia kukuacha na badala yake utakapokosea atakurekebisha ili muendelee kuwa pamoja
 
Nikwambie kitu,hata siku 1 usikubali mchezo wa dem kukuambia tuachane halafu eti umtafute! Ni mbaya sana! Akumulikae mchana,usiku atakumaliza! Piga chini! Mi nilishaapa,mwanamke akijaribu tu kutamka tuachane ni siku hiyohiyo na namba na delete! Achana nae huyo!
 
Huyo wakukimbilia tuachane basi ujuwe unamkosea, mpe kile kitu wanawake wanapenda afu utaona kama atasema tena hayo.

kitu gani hyo mkuu?ebu niweke wazi.
 
Hiyo ni dalili kubwa ya kuchokwa na pia ni dalili ya kuwa huyo mpenzi wako hana mapenzi ya dhati na pia hana nia sana ya kuwa na wewe hapo baadae. Mchunguze huyo mtu kwa makini sana cuz kama kweli anakupenda hawezi kukutishia kukuacha na badala yake utakapokosea atakurekebisha ili muendelee kuwa pamoja

asante kwa mawazo yako mkuu.
 
Sijui nifanyaje,yani kila nikiznguana kidogo na gelofrendi wangu,bac ye anakimbilia kuniambia tuachane,nkimbembeleza kdogo anajirudi..sa cjui hz ndo dalili za kuchokwa au vp wakuu?

Achana na huyo demu; kuna uwezekano kuna mshkaji anakusaidia kumsugua.
 
nliwah kumuulza swali ka hlo,nkamwulza ka amepata mtu mwngne aniweke wazi me niondoe jam kuliko kuwekana roho juu daily,bt alnambia hana m2 mwingne..
 
Nikwambie kitu,hata siku 1 usikubali mchezo wa dem kukuambia tuachane halafu eti umtafute! Ni mbaya sana! Akumulikae mchana,usiku atakumaliza! Piga chini! Mi nilishaapa,mwanamke akijaribu tu kutamka tuachane ni siku hiyohiyo na namba na delete! Achana nae huyo!

juz tumeznguana,me nkamchunia,leo mwenyewe kanitafuta.
 
Back
Top Bottom