Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Ahahahhahah🀣🀣🀣mkuu natii maelekezo yako
 
Itakuwa turn off mazima
Hii nahisi ndio ipo kipande hii hapa.
Kapunguza mawasiliano
Hakai nami karibu
Haongei tena full kuuchuna
Anakaa sana kazini
Muda mwingi yupo na simu yake kiganjani
 
Unahisi kila mke anafukuzwa???
 
Hicho kitanda kwenye chumba cha wageni kifungue
 
Ilikukutaje Chifu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Nilijichanganya nikamwambia tulipogombana kipindi cha miez miwili nilishindwa kuvumilia nika cheat wee after four years akiwa bado ni mke wangu yeye alienda kutambulishwa uchumba na muhuni kudadeki
 
"Kataa ndoa. Ndoa ni utapeli. Ndoa ni saccos. Ndio ni mateso"

Alisikika Evelyn Salt akisema kwa jazba
 
Nilijichanganya nikamwambia tulipogombana kipindi cha miez miwili nilishindwa kuvumilia nika cheat wee after four years akiwa bado ni mke wangu yeye alienda kutambulishwa uchumba na muhuni kudadeki
Duuuh! Ulichukua maamuzi gani sasa kuhitimisha huo msala Chifu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Duuuh! Ulichukua maamuzi gani sasa kuhitimisha huo msala Chifu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kuna miamba humu ilinishauri Nikae kimyaa, nisijitetee na wala nisiombe msamaha wa aina yoyote ule Bali nijikite kwenye majukumu yangu ya kuihudumia familia kwa nguvu zote, this approach worked and now we are happily married like nothing happened 🀣🀣🀣
 
Duuh
 
Eeee....hata mimi napambana usijue maana sifanyi ili ujue nafanya ili nistarehe kama unavyostarehe wewe,tena bora hata wewe mi nakujuaga wewe nakuhakikishia hutajua labda nije niamue ujue mzee
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…