Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Najua fika sintojua hvo sintoumia kwa kuwa atakayefanywa ni wewe siyo mimi
Eeee....hata mimi napambana usijue maana sifanyi ili ujue nafanya ili nistarehe kama unavyostarehe wewe,tena bora hata wewe mi nakujuaga wewe nakuhakikishia hutajua labda nije niamue ujue mzee
 
Lzm aone halal maana kwao wote wako hivohivo.....anawajomba wanne wote wana watt wa nje,baba yake anao watatu nje,mdg ake ana watt wanner kila mtt na mama yake
Ndo utulie sasa ....pamoja na kuyajua yote bado ukajileta Kwangu
 
Ndio maana nimekuambia umerithi vote kwa baba yako,baba ako kama wewe alikuwa na kila kitu ila alikuwa malaya kama wewe

Natuliaje wakati nna nyege mme uko bize kuchepuka?? Usivyo na haya unanikandia kwa michepuko yako hujui wanafata hela zako tu has.....forgive but must revenge,umenizoea wewe safari hii nakulipiza
Nyege uko nazo vipi wakati tushayamaliza ....tunafanya kila siku na unanambia umeridhika my wangu
 
Ndo utulie sasa ....pamoja na kuyajua yote bado ukajileta Kwangu
Nilijileta nikijua umejifunza kutokana na makosa ya wazee wako kumbe mna laana inawatafuna kizazi hata kizazii...na ulivyokuwa unajutia umalaya wa baba yako ulivyofanya muishi maisha magum nilijua utakuwa mme mwema nikasahau vya kurithi vinazidi
 
Eeee....hata mimi napambana usijue maana sifanyi ili ujue nafanya ili nistarehe kama unavyostarehe wewe,tena bora hata wewe mi nakujuaga wewe nakuhakikishia hutajua labda nije niamue ujue mzee
Sasa hapo utakuwa unamkomoa nani kama siyo kukomoa kitumbua chalk hikoooo......we wasambazie wana upendo as long as kinabaki na mimi nitakuja kuliendeleza......mbona wakati nakuoa nilikuta ushabanduliwa sana.....and I never felt za difference.
 
ILIKUA MAY 12, LEO NI JULY 4, VIPI AMANI ILIRUDI AU BADO NYUMBA CHUNGU. NAOMBA KUJUA HILO.
NNACHOAMINI KULINGANA NA YALIYONIKUTA MIMI MWANAMKE HATA AKIKUKAMATA LIVE, KAMA UTAONESHA KUJUTIA KOSA LAKO NA KUMWONESHA UNAMPENDA NA KUMTHAMINI YEYE, BASI HUO UGOMVI HAUWEZI KUCHUKUA HATA SIKU TANO, LAZMA AKUSAMEHE.
MIMI ALINIKUTA LIVE... 😂😂😂
 
Nyege uko nazo vipi wakati tushayamaliza ....tunafanya kila siku na unanambia umeridhika my wangu
Huniridhishi hata kidooogo nakuzuga ili unitokee kifuani kwangi ila nakuona kama yule mama kama yule mama mwenye hotel anavomuona mme wake....ndio maana nakudanganya nableed ila ukweli ni kwamba sijisikii kusex na wewe kama ambavo wewe hujisikiagi kusex na mimi
 
Sasa hapo utakuwa unamkomoa nani kama siyo kukomoa kitumbua chalk hikoooo......we wasambazie wana upendo as long as kinabaki na mimi nitakuja kuliendeleza......mbona wakati nakuoa nilikuta ushabanduliwa sana.....and I never felt za difference.
We chiba ba wa black mamba mi sifanyi kukukomoa,nafanya kupata raha tuuuuuu ninazozikosa kwako pindiunapokuwa bize na michepuko michepukooo
 
Una mke halafu unatoka nje ya ndoa. Hivi unampenda kweli mkeo? Hao unaotembea nao na kuzaa nai wanakupa raha/furaha kuliko mkeo? Kama ulikua unajua utachepuka nje ya ndoa why umharibie maisha binti wa watu!

Ukiugua nani wa kukuhudumia kama si mke! Ukipata shida, ukifiwa ni nani wa kukuliwaza kama si mke! Hao wa nje watakuhudumia na kukuliwaza kama ilivyo kwa mke! Pole sana
 
Baba yake anaumwasijwahi ona mchepuko wa baba yake ukimuuguza
 
ILIKUA MAY 12, LEO NI JULY 4, VIPI AMANI ILIRUDI AU BADO NYUMBA CHUNGU. NAOMBA KUJUA HILO.
NNACHOAMINI KULINGANA NA YALIYONIKUTA MIMI MWANAMKE HATA AKIKUKAMATA LIVE, KAMA UTAONESHA KUJUTIA KOSA LAKO NA KUMWONESHA UNAMPENDA NA KUMTHAMINI YEYE, BASI HUO UGOMVI HAUWEZI KUCHUKUA HATA SIKU TANO, LAZMA AKUSAMEHE.
MIMI ALINIKUTA LIVE... 😂😂😂
Kaka,
Amani imerudi kwa kasi ya 4G kwanza sasa hvi nampenda sana mke wangu, Nawahi sana kufika home, kila siku asubuhi lazima nimsindikize kwenda kazini. Kitandani huko ndo usiseme huyu dada kaimprove sana ananipa miaka ananipa yaani, hana tena visingizio sijui nimechoka ooh tutafanya kesho yaani kifupi ni raha burdanii
 
Una mke halafu unatoka nje ya ndoa. Hivi unampenda kweli mkeo? Hao unaotembea nao na kuzaa nai wanakupa raha/furaha kuliko mkeo? Kama ulikua unajua utachepuka nje ya ndoa why umharibie maisha binti wa watu!

Ukiugua nani wa kukuhudumia kama si mke! Ukipata shida, ukifiwa ni nani wa kukuliwaza kama si mke! Hao wa nje watakuhudumia na kukuliwaza kama ilivyo kwa mke! Pole sana
Wewe ni exceptional hvo hutakiwi kwenye huu uzi
 
Kaka,
Amani imerudi kwa kasi ya 4G kwanza sasa hvi nampenda sana mke wangu, Nawahi sana kufika home, kila siku asubuhi lazima nimsindikize kwenda kazini. Kitandani huko ndo usiseme huyu dada kaimprove sana ananipa miaka ananipa yaani, hana tena visingizio sijui nimechoka ooh tutafanya kesho yaani kifupi ni raha burdanii
Nyooooko.....we jishsue
 
Ahahaha.
Haya masuala huwa kama mwanamke alikua muaminifu, huwa hayaishi haraka, yan inaweza chukua muda mrefu sana maana kila kosa utamfanyianhata kwa bahat mbaya utamkumbusha machungu.
 
Back
Top Bottom