Eeee....hata mimi napambana usijue maana sifanyi ili ujue nafanya ili nistarehe kama unavyostarehe wewe,tena bora hata wewe mi nakujuaga wewe nakuhakikishia hutajua labda nije niamue ujue mzeeNajua fika sintojua hvo sintoumia kwa kuwa atakayefanywa ni wewe siyo mimi