Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Vijana wadogo acheni kuparamia fani.
Wakubwa tunasevu jina la binamu ambaye wife anajua fika Ni binamu yangu wa kike Ila hawajawahi kukutana. Sasa hiyo ndio namba ya mchepuko. Unaweza hata ukachati naye usiku waif amekaa pembeni.
Au ukishindwa hivyo nunua kitochi Cha Siri, kifiche kwenye gari au ofisini.
Muonyeshe waif password ya simu yako, na Kama unakwenda grocery ya karibu iache mezani, huku ukijua ataichokonoa, ukimwachia hivyo miezi sita mingi atakua hagusi simu yako. Halafu msevu waif kwa kajina romantic au msevu kwa jina super woman. Hakikisha kadi ya benki ya NMB anajua iliko na password anaijua. Akikuomba pesa mwambie usinisumbie, chukua kadi nenda ATM mwenyewe. Usimuambie kiwango atakachochukua. Kadi ya CRDB ficha ofisini.
Hakikisha mke anahisi ana access na vitu vyako yaani akuamini 💯.
Utanishukuru ukistaafu.
 
Pole sana
 
nast girl
 
omba msamaha tu
 
Password zote usaficha nini?Ndoa ni kuaminiana.
 
Nimependa hapo pa atanishukuru akistaafu.

Mi kwa kweli nazingatia wakati baada ya kustaafu sana.
Nakuelewa mno
 
Usithubutu kuomba msamaha au kukubali kuwa umefanya aliyoyasoma.Akili ya mwanamke inapenda kudanganywa,zingatia kudanganywa.
 
Wanawake hiki kitu huwa wanakera sana na ni kama wote wako hivyo, wanapenda sana kuchunguza simu, wakikutana na vitunguu humo full vilio na kukutaka ujitetee sijui uombe misamaha.

Ukiona sishiki simu yako basi achana na yangu, binafsi sipend kuchunguza simu ya mwenza wangu, na hata nikiona kitu kwenye simu yake siwezi kumuuliza nakausha.
 
Chapa makofi hyo kenge..kushika shika simu saa8 zausiku amekuwa mwanga..au relax fanya kama huelewi Mchape na kipande ya kanga kama wasemavyo wahenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…