Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!



1. Usijitetee.
2. Kwepa vikao.
3. Admit
4. Onyesha upendo.
5. Rejea nyumbani mapema.

Conclusion: Why cheating? Ina mazara sana.
 


Ushauri mzuri sana huu.
 
Hapo mkuu endelea kuipambania familia yako usitetereke na usiwe mnyonge usilikumbushie hilo swala hapo ndani kila muda lakini pia punguza huo mwendo wakubadili hao mamaz kila siku maana kuna maradhi mengi sana sikuhizi unaweza ukapata huko ukamletea mkeo sio vizuri aisee.
 
Y
Yani mke akagongwe nje kisa hasira?
 
At 30 unarudi saa sita usiku, unapuyanga na kuamini kwamba hajui

Kaamua tu kukuonyesha anajua

Na lazima unachapiwa mnoooo

Vijana mnajidanganya sana na kuwapa sisi wazee wenu kazi kumi ya kulea wake zenu

Change
 
Ndoa sio ya kila mtu,hukutakiwa kua kwenye ndoa,una utoto mwingi,
Akili ya mtu haipimwi kwa umri bali kwa matendo yake,

Mkeo na watoto wako wamekula hasara kubwa sana kupata Baba kama wewe,
Wewe huwezi kubadilika,muache mkeo akaishi kwingine kwa amani halafu wewe endelea kugonga huko nje mpaka ukipate unachokitafuta,

Hukua umekomaa kiakili mpaka kua kwenye ndoa.
 
Mambo yanayotufanya wengine tusioe ndio haya sasa. Yani unaishi katika ndoa ukiwa hauna uhuru kama mtumwa flani hivi.

Hapo jiandae kulipiziwa kisasi tu, utaanza kushuhudia anaanza kutoka na maex au vijana wa kitaa kupoza machungu. Bado sioni umuhimu wa ndoa.
 
Mh. Makonda yupo na atakutetea hata ktk hili
 
I got you bro....
 
Hapo hadi sasa jiandae kisasi atatafuta mtu amgongee ...

Ni atakuwa anagongwa gongwa hovyo
Inshort kazi kwisha hata uombe msamaha gani

Mimi simu yangu huwa na password mbili moja kufungua simu .....ya pili kufungua application kama watsapp meseji za kawaida facebook na insta... yaani hadi kwenye gallery nimeweka makufuri

So akijua ya kwanza itabid ajue ya pili kazi ambayo ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…