Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Wakuu salama?

Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hvo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.

Sasa mimi kama ilivo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.

Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hvyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hzo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu, nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms ,WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote , kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno, ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana Naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisaa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.

Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hvo simu ishaniumbua.

Tafadhali wakurungwa mlowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
kwanza wewe ni mpuuzi,lakini huo upuuzi wako tuuche,tujadili suala hili,mbona ni rahisi tu,nyie si mmeona kwa raha na kwa shida,basi sasa ndio wakati wa shida,mwambie mkeo,avumilie
 
Mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni kawaida. Kutokuwa na kamchepuko ndio udhaifu na utaishia kuolewa na mkeo. Kosa ni wewe kuacha ushahidi mwingi kwenye simu.
Usipanic. Mkeo sasa atazidisha mapenzi kwako baada ya mapatano na kugundua kwamba yupo na kidume na sio malaika wala kivulana. Ameshajua ana wapinzani na hivyo ataboresha sera.
😂😂😂😂😂😂😂😂 hii inaimarisha upendo ila kwanza kikubwa ni kukana mashataka kwa namna yeyote ile😁
 
Kubali dhambi yako Toba ya dhati kwa Mungu na Mkeo ,Kisha mpe Uhuru Mkeo akuhukumu ,
Vipi ww ndio ungekuta hizo vitu kwa simu yake ungempa muda hata wa ku Tubu uovu wake ? ukipata jibu utatekeleza ushauri huu
 
Akubali dhambi kwa mke hivi wewe una akili kweli?😁 Unataka jamaa ateseke sasa na hata milele???
 
Dogo huna akili.
Simu janja USIITUMIE kwa ujinga Wala usiweke password ili kila Mara aichokonoe.
Nunua kasimu ka batani vile vya elfu 12 wanavyotumia warombo walevi. Uwe unakiacha ofisini au kwenye gari.
Mwenzio simu yangu haina password. Nikienda bar naiacha sebuleni au chumbani. Huko nachati ninavyopenda na Kasimu kangu ka Siri.
Hata nilewe mbege haka Kasimu hakafiki nyumbani.
 
Hapo hadi sasa jiandae kisasi atatafuta mtu amgongee ...

Ni atakuwa anagongwa gongwa hovyo
Inshort kazi kwisha hata uombe msamaha gani

Mimi simu yangu huwa na password mbili moja kufungua simu .....ya pili kufungua application kama watsapp meseji za kawaida facebook na insta... yaani hadi kwenye gallery nimeweka makufuri

So akijua ya kwanza itabid ajue ya pili kazi ambayo ni ngumu
Mi niliweka password baada ya kuona kero zinazidi za kupekua pekua simu. Mwanzo simu ilikuwa huru ila siku moja moja akikuta Ex kanijulia anaanzisha mdomo wakati anamjua kabisa mtu kaolewa na umbali alipo na mimi hatuwezi kuonana. Ukitumiwa sms na demu maswali kibao.
 
Unachoweza kufanya ni kuikana simu yako
1715492721134.png

Unaanzaje sasa kuikana simu yako?
 
Atajitafutia kipozeo kukukomoa
Wakuu salama?

Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.

Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.

Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.

Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.

Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.

Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.

Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
 
Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo
Daaah. Nimelia sana😭😭 yote tisa hadi kuzaa njee ya ndoa yaani wewe kaka ungejuwa jinsi inavyouma unge kuwa ushajiwa muda huu.
 
Kwamba sim yako haina password? Pamoja na mambo yako bado unaruhusu mkeo kunyatia ba kuingia kwenye sim yako? Sim yangu ina password zaidi ya moja na ht siku moja siiachi wazi bila kulock
Yajayo yana furahisha, siku za mwizi ni arubaini
 
nipe namba zako nikupigie nikutukane sana kwanini umeondoka na simu yangu

halafu utapata sababu ya kumwambia mkeo hio simu si yako toka muda sana uliikopa na ukashindwa kuilipia..

au kodi mtu aje aibebe tena na mgambo juu😅😅😅
 
kwaiyo izo
Wakuu salama?

Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.

Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.

Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.

Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.

Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.

Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.

Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
kwaiyo izo text na call na pcha ambazo ulikua hufuti ulikua unaweka ukumbusho wa nini?? Uzifanyie Happy anniversary??

Kuna muda nilikua hivi lakin kuna siku nikajiuliza na hifadhi hivi vitu vyote vya nn??
 
Back
Top Bottom