Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ana kana vipi hapa??na ushahidi upo dhahiri??😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hii inaimarisha upendo ila kwanza kikubwa ni kukana mashataka kwa namna yeyote ile😁
Kama yule mzee wa Kawe alikana kideo akiwa anakula mazigo kabisa na kusema ilikuwa mikono ya baunsa itakuwa huyo wa sms na picha tu.Hivi ana kana vipi hapa??na ushahidi upo dhahiri??😂
Jamaa kayatimba asubiri tu huruma ya mkewe.Kama yule mzee wa Kawe alikana kideo akiwa anakula mazigo kabisa na kusema ilikuwa mikono ya baunsa itakuwa huyo wa sms na picha tu.
Mke kama anakupenda atakusamehe ila kama kashakuchoka ataanza kutombesha ovyo huko nje hadi ahakikishe umejua na umeumia vilivyo.Hakuna kitu kitachotokea kuwa na amani,siku siku zote wanawake wanapenda ushindani Sana,Mimi mke wangu ameshanifumania sana lakini nashangaa upendo ndo unazidi,mfano Kuna siku nimepanga kukutana na manzi mmoja,nimeenda kuoga narudi namkuta wife na simu yangu nilishituka,kumbe nilisahau kufuta voice call alisikia maongezi yote,isee ilikuwa siku ngumu lakin yaliisha maisha yaliendelea Kama kawaida,wewe ulichobugi umeacha ushaidi mwingi sana,lakin naamini yataisha kila heri!
Hapo huruma ni asilimia chache sana labda kama hajawahi muonya kuhusu hilo.Jamaa kayatimba asubiri tu huruma ya mkewe.
Ni kweli lazima awe anakupendaMke kama anakupenda atakusamehe ila kama kashakuchoka ataanza kutombesha ovyo huko nje hadi ahakikishe umejua na umeumia vilivyo.
Mchimba kisima huingia mwenyewe.Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.
Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.
Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.
Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.
Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.
Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.
Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
Ukweli ni kwamba, alikuwa anajua, alikuwa anatafuta namna ya kuthibitsha tu hisia zake. Alikuwa anataka kukutana na hiko kitu ndio maana amejivuruga weee ktk kila angle.
Actually mambo mengi yanayotutokea sisi ndio responsible nayo, tunayavuta wenyewe yaje, from yeye kuolewa na wew, kuwaza una cheat ,ku cheat etc. so nature itampa matokeo kupitia a weak link ambayo ni wewe sasa. Hata mkeo akianza kupigwa nje 😁 kisa hasira ,hayo matokeo ya wewe kuyafungulia mlango ktk mind yako.
La kukushauri ni usipagawe, usi overthink, wala usianze kujitirisha huruma. Umesha haribu Chill, aman imeharibika ktk ndoa yako, isiharibike ndani yako na ww sasa, vitu vya nje ni rahisi kutengenezeka kuliko vya ndani yaani moyoni mwako.
Mkeo ana maumivu now, anafeel kudharaulika, kuonekana hatoshi, kusalitiwa niixed emotions kwa sasa. Hapo anaweza kuwa anakuona kama mbwa 🤣, ila mind U ,nani anamjua mwanamke? Ni mwanamke mwenyewe, usitake kumjua sana wala ku perfect sana njia zako, make sure usimpe stress wala self doubt zaidi, How? BE A MAN ABOUT IT, USIJITETEE ,WALA KU JUSTIFY ULICHO FANYA, BE A GOOD FATHER,FANYA MAJUKUMU YAKO ,BE A GOOD A LOVER TO HER. Linda tu moyo wako, usianzishe hiyo mijadala na wala usijifanye mbabe and rigid just chill and live.
Usibadili mfumo wako wa maisha, endelea kuwa a good man, ukienda a wrong move tu, uta trade ubaba wako, uanaume wako na hapo itakuwa a turn off kwake mazima...Usibadili mfumo wa maisha fanya majukum yako.kuu
Mkuu umenitumia ujumbe PM bahati mbaya haufunguki , natamani ningeusoma juanitaUkweli ni kwamba, alikuwa anajua, alikuwa anatafuta namna ya kuthibitsha tu hisia zake. Alikuwa anataka kukutana na hiko kitu ndio maana amejivuruga weee ktk kila angle.
Actually mambo mengi yanayotutokea sisi ndio responsible nayo, tunayavuta wenyewe yaje, from yeye kuolewa na wew, kuwaza una cheat ,ku cheat etc. so nature itampa matokeo kupitia a weak link ambayo ni wewe sasa. Hata mkeo akianza kupigwa nje 😁 kisa hasira ,hayo matokeo ya wewe kuyafungulia mlango ktk mind yako.
La kukushauri ni usipagawe, usi overthink, wala usianze kujitirisha huruma. Umesha haribu Chill, aman imeharibika ktk ndoa yako, isiharibike ndani yako na ww sasa, vitu vya nje ni rahisi kutengenezeka kuliko vya ndani yaani moyoni mwako.
Mkeo ana maumivu now, anafeel kudharaulika, kuonekana hatoshi, kusalitiwa niixed emotions kwa sasa. Hapo anaweza kuwa anakuona kama mbwa 🤣, ila mind U ,nani anamjua mwanamke? Ni mwanamke mwenyewe, usitake kumjua sana wala ku perfect sana njia zako, make sure usimpe stress wala self doubt zaidi, How? BE A MAN ABOUT IT, USIJITETEE ,WALA KU JUSTIFY ULICHO FANYA, BE A GOOD FATHER,FANYA MAJUKUMU YAKO ,BE A GOOD A LOVER TO HER. Linda tu moyo wako, usianzishe hiyo mijadala na wala usijifanye mbabe and rigid just chill and live.
Usibadili mfumo wako wa maisha, endelea kuwa a good man, ukienda a wrong move tu, uta trade ubaba wako, uanaume wako na hapo itakuwa a turn off kwake mazima...Usibadili mfumo wa maisha fanya majukum yako.
Mkuu umenitumia ujumbe PM bahati mbaya haufunguki bila shaka kuna kingine cha ziada ningepata. Ahsante sanaUkweli ni kwamba, alikuwa anajua, alikuwa anatafuta namna ya kuthibitsha tu hisia zake. Alikuwa anataka kukutana na hiko kitu ndio maana amejivuruga weee ktk kila angle.
Actually mambo mengi yanayotutokea sisi ndio responsible nayo, tunayavuta wenyewe yaje, from yeye kuolewa na wew, kuwaza una cheat ,ku cheat etc. so nature itampa matokeo kupitia a weak link ambayo ni wewe sasa. Hata mkeo akianza kupigwa nje 😁 kisa hasira ,hayo matokeo ya wewe kuyafungulia mlango ktk mind yako.
La kukushauri ni usipagawe, usi overthink, wala usianze kujitirisha huruma. Umesha haribu Chill, aman imeharibika ktk ndoa yako, isiharibike ndani yako na ww sasa, vitu vya nje ni rahisi kutengenezeka kuliko vya ndani yaani moyoni mwako.
Mkeo ana maumivu now, anafeel kudharaulika, kuonekana hatoshi, kusalitiwa niixed emotions kwa sasa. Hapo anaweza kuwa anakuona kama mbwa 🤣, ila mind U ,nani anamjua mwanamke? Ni mwanamke mwenyewe, usitake kumjua sana wala ku perfect sana njia zako, make sure usimpe stress wala self doubt zaidi, How? BE A MAN ABOUT IT, USIJITETEE ,WALA KU JUSTIFY ULICHO FANYA, BE A GOOD FATHER,FANYA MAJUKUMU YAKO ,BE A GOOD A LOVER TO HER. Linda tu moyo wako, usianzishe hiyo mijadala na wala usijifanye mbabe and rigid just chill and live.
Usibadili mfumo wako wa maisha, endelea kuwa a good man, ukienda a wrong move tu, uta trade ubaba wako, uanaume wako na hapo itakuwa a turn off kwake mazima...Usibadili mfumo wa maisha fanya majukum yako.
Ndoa ni ngumu sana mkuu, hao kataa ndoa wana point wasikilizweTutegemee na wewe siku kuja hapa kusema kataa ndoa huku wewe mwenyewe ndiye ulikuwa hujitambui.
Nyama ni ile ile ila uzani tofauti mkuu ni kusema kuchepuka sio kuzuri kwa ajili ya familia bora na wanao kujenga uaminifu na utii ila kusema ukweli michepuko inajua waeza enda round hata kumi bila kujua kuliko mke ndani ukipiga kimoja hadi kesho kutwa kwanza hata hicho kimoja hana muda yeye anawaza watoto tuSasa mkuu kama ndani kwako mlikuwa na amani huko nje ulifuata nini tena? Haya ndiyo makosa wanaume tunafanya, nyama ni ile ile utamaliza Bucha tu! Halafu ukute na hayo ma michepuko siyo pisi kali kuzidi mkeo!
sikumbuki lini nimeangalia simu ya mrs wangu, nilishamwambia kama atataka kukagua simu yangu ajiandae kwa mengi na awe na uhakika wa kushinda vita hiyo.Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.
Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.
Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.
Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.
Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.
Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.
Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
Ahsante sana mkuu kwa kutumia muda na akili yako kunipa ushauri juu ya huu ujinga wangu. Nitafanya hvo mkuuKuhusu mtoto hliyezaa nje ya ndoa mueleze ukweli. ili uwe na amani kuliko kujiiba uje ugundulike tena .
Piga magoti .mbele yake Omba msamaha sana.
Sindikiza msamaha kwa zawadi kubwa yenye thamani na kumtoa auti na kumpelekea moto wa uhakika kuliko siku zote.
Fululiza kumpelekea moto haswa.
KISHA UNIPE MREJESHO.
Braza nimekuelewa kwa ukubwa wake , shall implement this.....sikumbuki lini nimeangalia simu ya mrs wangu, nilishamwambia kama atataka kukagua simu yangu ajiandae kwa mengi na awe na uhakika wa kushinda vita hiyo.
Nilishamwambia, asifikiri nina majanga kwenye simu, ila nina issues sensitive humo pampja na mambo ya ofisini. Uzuri alishaelewa, sijui kama huwa anaiba anakagua, sjawahi kusikia malalamiko.
Huna sheria nyumban kwako wewe. Jifunze kuweka sheria, lakini acha utoto, ukiwa na mke inabidi uwe na akili extra mile ahead.
😂😂😂kwanza wewe ni mpuuzi,lakini huo upuuzi wako tuuche,tujadili suala hili,mbona ni rahisi tu,nyie si mmeona kwa raha na kwa shida,basi sasa ndio wakati wa shida,mwambie mkeo,avumilie