Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Jamani si wanasemaga mean kulitafuta mwana kulipata.
Mkeo alichimba chimba na hatimaye akafanikiwa kupata alichokuwa anakitafuta.

Sasa ndoa yenu imeingia dosari.
 
Dogo huna akili.
Simu janja USIITUMIE kwa ujinga Wala usiweke password ili kila Mara aichokonoe.
Nunua kasimu ka batani vile vya elfu 12 wanavyotumia warombo walevi. Uwe unakiacha ofisini au kwenye gari.
Mwenzio simu yangu haina password. Nikienda bar naiacha sebuleni au chumbani. Huko nachati ninavyopenda na Kasimu kangu ka Siri.
Hata nilewe mbege haka Kasimu hakafiki nyumbani.
Umeshauri vizur ila sikuona umuhimu wa kutaja jamii ya watu flani hapo
 
Watu wenye experience tunasema unakana kwanza hayo mashitaka . Then baadae unaomba msamaha.😂😂
 
Pole mkuu mimi nme shikwa juzi tena sms ilio muuma ni nili mkana kwa mchepuko, kwamba she is nobody na mchepuko usiwe na wasi [emoji28]yameisha japo akuja poa kabsa
 
Wakuu salama?

Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.

Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.

Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.

Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.

Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.

Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.

Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
Jambo dogo kabisa hili mdau
 
We utakuwa shoga yake naona , si kwa jukumu hzi
Yaani kabla jua kuzama Leo,Naomba fungasha virago vyako na Kila kitu Rudi chumbani kwako,myamalize na mkeo,KIBURI CYO MAUNGWANA.

Naona wajumba mnamwambia aombe msamaha waendelee! Wakati mnasema mke akiwa na mahusiano nje aache hafai.
Nakushauri achana na huyo mkeo hakutoshelezi na kukutuliza ndio maana una wa nje halafu hao wa nje wanaokutuliza moyo oa mmoja.sawa

Dogo huna akili.
Simu janja USIITUMIE kwa ujinga Wala usiweke password ili kila Mara aichokonoe.
Nunua kasimu ka batani vile vya elfu 12 wanavyotumia warombo walevi. Uwe unakiacha ofisini au kwenye gari.
Mwenzio simu yangu haina password. Nikienda bar naiacha sebuleni au chumbani. Huko nachati ninavyopenda na Kasimu kangu ka Siri.
Hata nilewe mbege haka Kasimu hakafiki nyumbani.
Ahahaha hako kasimu ka afu 12 wanakotumia warombo walevi nakapata wapi mzee wangu, aisee nisamehe nimekosa mimi
 
Kwaiyo Mkuu unaharalisha watu kufanya Uzinzi si Ndio?
Mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni kawaida. Kutokuwa na kamchepuko ndio udhaifu na utaishia kuolewa na mkeo. Kosa ni wewe kuacha ushahidi mwingi kwenye simu.
Usipanic. Mkeo sasa atazidisha mapenzi kwako baada ya mapatano na kugundua kwamba yupo na kidume na sio malaika wala kivulana. Ameshajua ana wapinzani na hivyo ataboresha sera.
 
nipe namba zako nikupigie nikutukane sana kwanini umeondoka na simu yangu

halafu utapata sababu ya kumwambia mkeo hio simu si yako toka muda sana uliikopa na ukashindwa kuilipia..

au kodi mtu aje aibebe tena na mgambo juu😅😅😅
Hii mbinu ni mbinu haswaaaa
 
Tulikubaliana mwanaume hakubali fumanizi yyte....kataaa katu katu
 
Ukweli ni kwamba, alikuwa anajua, alikuwa anatafuta namna ya kuthibitsha tu hisia zake. Alikuwa anataka kukutana na hiko kitu ndio maana amejivuruga weee ktk kila angle.

Actually mambo mengi yanayotutokea sisi ndio responsible nayo, tunayavuta wenyewe yaje, from yeye kuolewa na wew, kuwaza una cheat ,ku cheat etc. so nature itampa matokeo kupitia a weak link ambayo ni wewe sasa. Hata mkeo akianza kupigwa nje 😁 kisa hasira ,hayo matokeo ya wewe kuyafungulia mlango ktk mind yako.

La kukushauri ni usipagawe, usi overthink, wala usianze kujitirisha huruma. Umesha haribu Chill, aman imeharibika ktk ndoa yako, isiharibike ndani yako na ww sasa, vitu vya nje ni rahisi kutengenezeka kuliko vya ndani yaani moyoni mwako.

Mkeo ana maumivu now, anafeel kudharaulika, kuonekana hatoshi, kusalitiwa niixed emotions kwa sasa. Hapo anaweza kuwa anakuona kama mbwa 🤣, ila mind U ,nani anamjua mwanamke? Ni mwanamke mwenyewe, usitake kumjua sana wala ku perfect sana njia zako, make sure usimpe stress wala self doubt zaidi, How? BE A MAN ABOUT IT, USIJITETEE ,WALA KU JUSTIFY ULICHO FANYA, BE A GOOD FATHER,FANYA MAJUKUMU YAKO ,BE A GOOD A LOVER TO HER. Linda tu moyo wako, usianzishe hiyo mijadala na wala usijifanye mbabe and rigid just chill and live.

Usibadili mfumo wako wa maisha, endelea kuwa a good man, ukienda a wrong move tu, uta trade ubaba wako, uanaume wako na hapo itakuwa a turn off kwake mazima...Usibadili mfumo wa maisha fanya majukum yako.
Hii imeendraaaaa.
Ukirogwa kukaa chini na kujadiliana ndo umekwisha mazimaaa.
Akikomaa kuyaongelea, muombe msamaha yaishe. Kama alivyosema MTAALAMU, beba msalaba wako na timiza majukumu yako period
 
Back
Top Bottom