Nahisi nimekua addicted na huu mchezo wakuu

Kwani uwa unafanye ili kumfuatilia ebu nipe kozi fupi kwanza..
 
saw
Wasiliana na wazir Gwajima atakupa ufumbuz wa tatizo lako

Kwani uwa unafanye ili kumfuatilia ebu nipe koz

Kwani uwa unafanye ili kumfuatilia ebu nipe kozi fupi kwanza..
kusema ukweli mie ni muoga sana wa kusalitiwa maana mimi kusema ukweli nikiwa kwa mahusiano sjuagi kabisa kuchit,,nahisi ndo maana nafanya haya yote huenda ningekua mtu wa mambo mengi nisingekua nafanya ivi yan ningekua dont care chapa ilale...uaminifu wangu kwa kila mpenzi nayekua naye ndo unanifanya nichunguze pia uaminifu wake kwangu..
 
Ni bora ukamuajiri mpelelezi/detective/ private investigator awe anamchunguza mpenzi wako😁

Kiufupi mkuu una tatizo la TRUST ISSUE. Fatilia background y maisha yko ilianzaje ukaanz kutomwamini mtu. Bora umchane makavu umwamini au umpe Do ' s or Donts kuliko kum track
 
Hauko addicted hujiamini, uko so insecure
 
Utakuja kufa mdomo wazi kwa mshangao..!!
 
Una umri gani?
 
Wakati wako wa kuoa Sasa,acha kuchezea mabinti za watu
 
sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…