JAKUGOTE
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 788
- 1,084
Ndio swali alilokuwa analisubiria hiliUnatumia software ipi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio swali alilokuwa analisubiria hiliUnatumia software ipi mkuu
Basi tafuta biashara ya kufanya, itakayo ku- keep busy, Itakuongezea focus na Hutakua na muda wa kufanya hizo mambo tena.bado sijafanikiwa kua na biashara mkuu
For Promotional Use Only.Habari za majukumu wakuu, mimi ni kijana wa miaka 29. Nina shida moja ambayo nahisi imekuwa kama "addiction."
Nimejipata nikiwa na tabia ya kufuatilia (track) simu za kila mpenzi ninayeingia naye kwenye mahusiano, iwe nina mipango ya baadaye naye au hata kama ni uhusiano wa muda mfupi. Ilimradi tu tunakuwa na uhusiano wa kimapenzi, lazima nifuatilie mawasiliano yake. Pia, sijawahi kuwa na mahusiano mafupi; karibu mahusiano yangu yote nimekuwa nikifanya hivi.
Hua nahisi kama nafurahia kufuatilia mawasiliano ya mpenzi wangu, ingawa tangu nianze kufanya hivi ni mara moja tu, mwaka 2020, nilipokutana na ujumbe uliothibitisha kuwa mpenzi wangu alikuwa amenisaliti. Wapenzi wengine wote, pamoja na huyu niliye naye sasa, sijawahi kuona dalili yoyote ya usaliti.
Natamani niache hii tabia, lakini nahisi nashindwa. Najikuta natoa "tracker," lakini baada ya muda mfupi nairudisha tena. Nahitaji ushauri wenu juu ya hili. Nitashukuru sana.
Muache ajichanganye apigwe ,yaani hajui kabisa kwamba jamaa anatafuta KONDOO awapige mpunga kwa kigezo cha kuuza app.Ni matangazo ya biashara haya mkuu!