Nahisi nimepatwa na ugonjwa wa akili (Bipolar disorder)

Nahisi nimepatwa na ugonjwa wa akili (Bipolar disorder)

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Nahitaji nimepatwa na ugonjwa wa akili please kindly psychologists naomba msaada wenu wa haraka sana nitawalipa pesa yoyote Ile mnayohitaji tafadhalini jamani.

Kuna muda napatwa na moods swing na kuna muda napata euphoria ndugu zangu kindly I need help wakuu hali si hali, please I need your help for while.

Thanks
 
Wagonjwa wengi wa psychiatry wanakuwa hawajui wanaumwa nini yaani hawajitambui, ni moja ya sifa ya ku diagnose psychiatric disorders lakini wewe unajua na ugonjwa kabisa😅. Kwa kufuatilia trend yako wewe utakua na shida nyingine tofauti bipolar au vyote kwa pamoja 😅
 
Najua na nafahamu Nina OCD na social phobia uzuri mimi nafahamu ugonjwa wangu wa akili mzee
Kama unajijua means you can reason yourself out from mental illness, which means ni maamuzi sasa ugonjwa upo wapi hapo
 
Back
Top Bottom