Nahisi nimepatwa na ugonjwa wa akili (Bipolar disorder)

Nahisi nimepatwa na ugonjwa wa akili (Bipolar disorder)

Psychopath ajue anaumwa nini? Wewe labda una tatizo la ASD(attention seeking disorder)
 
Unajua hizi ID zetu japo ni unknown ila zinatupa kufahamiana in unknown way hivyohivyo.
Najua una ID ambayo ni reputable humu hivyo unefungua hii Ili iweze kupost crazy topics.
Najua unajisikia RAHA kujibu watu kwenye topics za hivi.
Good job 🙂
 
Inaonesha uliwahi kumuona mtaalam akakwambia tatizo lako....kwa nini usiende tena au uende hospital kwa wataalam wa magonjwa ya akili? HUMU HUTAPATA SULUHISHO.
 
Nenda muhimbili PSYCHRIATIC ukaonane na madaktari bingwa waliosomea UBONGO watakuhoji vizuri chanzo Cha yote hayo nakujua dawa nzuri zipi ZITAKUSAIDIA nakushauri USIENDE Kwa mganga wa kienyeji fuata ushauri huu naamini utapata msaada thabiti kabisa,
 
Nahitaji nimepatwa na ugonjwa wa akili please kindly psychologists naomba msaada wenu wa haraka sana nitawalipa pesa yoyote Ile mnayohitaji tafadhalini jamani.

Kuna muda napatwa na moods swing na kuna muda napata euphoria ndugu zangu kindly I need help wakuu hali si hali, please I need your help for while.

Thanks
Kwa umeshalipa karo ya watoto tayari?
 
Mkuu kuna tofauti kati ya kuchamganyiwa na mental illness! Who told you that kujifahamu kwamba una ugonjwa wa akili ndiyo kuchanganyikiwa ni nani? Mkuu unapaswa kujifahamu? I'm expect on that field I know it! Jifahamu kabla mambo hayajaaribika mkuu nilikuja kugundua mimi Nina OCD baadae sana ila taratibu nilikuja kuumaliza but ugonjwa wa akili huwa hauishi mkuu
Pole mkuu, mie hayo mambo ni mageni kwa upande wangu. Mie niulize Scania DC 13 ina cc ngapi and the like ndio nitakujibu. Maana hiyo OCD nikahisi labd mkuu wa maaskari wa wilaya.(Jokes)
 
Nahitaji nimepatwa na ugonjwa wa akili please kindly psychologists naomba msaada wenu wa haraka sana nitawalipa pesa yoyote Ile mnayohitaji tafadhalini jamani.

Kuna muda napatwa na moods swing na kuna muda napata euphoria ndugu zangu kindly I need help wakuu hali si hali, please I need your help for while.

Thanks

Mgonjwa wa akili naona unajua kuelezea shida zako vizuri sana tena kizungu, angalia unaweza kuwa na vipepo, akili yako ipo sawa, ila uma roho nyemelezi.
 
Back
Top Bottom