Nahisi nimepatwa na ugonjwa wa akili (Bipolar disorder)

Psychopath ajue anaumwa nini? Wewe labda una tatizo la ASD(attention seeking disorder)
 
Unajua hizi ID zetu japo ni unknown ila zinatupa kufahamiana in unknown way hivyohivyo.
Najua una ID ambayo ni reputable humu hivyo unefungua hii Ili iweze kupost crazy topics.
Najua unajisikia RAHA kujibu watu kwenye topics za hivi.
Good job πŸ™‚
 
Inaonesha uliwahi kumuona mtaalam akakwambia tatizo lako....kwa nini usiende tena au uende hospital kwa wataalam wa magonjwa ya akili? HUMU HUTAPATA SULUHISHO.
 
Nenda muhimbili PSYCHRIATIC ukaonane na madaktari bingwa waliosomea UBONGO watakuhoji vizuri chanzo Cha yote hayo nakujua dawa nzuri zipi ZITAKUSAIDIA nakushauri USIENDE Kwa mganga wa kienyeji fuata ushauri huu naamini utapata msaada thabiti kabisa,
 
Kwa umeshalipa karo ya watoto tayari?
 
Pole mkuu, mie hayo mambo ni mageni kwa upande wangu. Mie niulize Scania DC 13 ina cc ngapi and the like ndio nitakujibu. Maana hiyo OCD nikahisi labd mkuu wa maaskari wa wilaya.(Jokes)
 

Mgonjwa wa akili naona unajua kuelezea shida zako vizuri sana tena kizungu, angalia unaweza kuwa na vipepo, akili yako ipo sawa, ila uma roho nyemelezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…