Nahisi nimepatwa na ugonjwa wa akili (Bipolar disorder)

Hebu weka huo mkorogo niitambue
Haiwezekan nitoe pole kwa heshima kubwa hivyo kumbe ni me kajivika magauni kutuchosha tu
Eeeh ndio Haki sawa hizo watu wanatinga tu hizo jinsia hawazizingatii kabisaa
 
Nenda hospitali kubwa kubwa, matibabu yapo mbona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…