Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mimi concern yangu ni kwamba kwa nini mtu uende kwa Daktari kisha umpangie daktari magonjwa ya kutibu badala ya kumwambia Daktari akucheki kisha akuambie tatizo?Soma umuelewe jamaa alipeleka kwa nia njema kabisa! Sasa yamemkuta mpe moyo mwaka mpya huu tuanze salama, au we mgogo?🤔🤔🤔
Naandika haya ili kusaidia watu wengine pia kuwa wanapoenda garage wasiwapangie mafundi kubadili spea bali waache mafundi wafanye kazi yao inayowaingizia kula kila siku ya kucheki matatizo ya gari kisha mafundi watasema wenyewe tatizo ni nini.