nimesoma nimeishia kucheka tu. mpe na series ya the walking dead
hahaha unaogopa. nataka tuangalie wote sababu naikubali ile seriesUwiiiiii hiyo inatisha na kichefu chefu khaaaa.....
hahaha unaogopa. nataka tuangalie wote sababu naikubali ile series
sasa zombie na vampire mbona mule ila sio sanaBora heros hahahaaa hizo daaahhh...ile ni ma monsta bora vampire
Ulivyojibu kama vile na wewe ni mpenzi wa hizo movie!
dawa yenu hiyo ndo dawa yako!
Hahaha mimi napenda ma monster wa kikorea...
Kama gumiho...wolfu na nk
Jamaa anaogopa dyudyu lisije nyofolewa.
Dyudyu ni nini mkuu? ....neno geni hilii
Hivi kirefu cha pm ndo nin?:what: