Nahisi nimetongoza jini

Nahisi nimetongoza jini

nimesoma nimeishia kucheka tu. mpe na series ya the walking dead
 
Zaidi Ya Hilo, Kuna Dalili Nyingine Mbaya?? Binafsi Hata Mimi Napenda Movie Zenye Vitu Vya Ajabu, Kma Movie Za Hary Potter N.k Napenda Movie Ambazo Zinaonyesha Kitu Cha Kustaajabisha.
 
Huyo ukiona hakufai tuletee sisi wenye roho ngumu tutammudu yeye akileta hizo final destination mie anankuta naangalia dokumentary za mauaji ya kimbari ta rwanda ikiisha naanza kucheki holocaust jinsi hitler alivyokuwa anawabanika wayahudi
 
Naogopa sana horror movies. Hata cartoons huwa naziogopa. Naweza kuota mwezi mzima. Labda ndo hobi yake huyo dada, ila mh...!
 
Back
Top Bottom