Nahisi nimetongoza jini

Nahisi nimetongoza jini

mwambie km anahitaji na series za wrong turn nimpatie
 
Toa taarifa kwa mwenyekiti wa mtaa na majirani wawe wanakuja kukagua kama bado upo hai.
 
huyo anakulia timing siku yoyote atakunyonya damu hiyo tabia ya kupenda hizo filam za kutisha sio tabia ya mwanamke wa kawaida
 
SASA movies zinatatizo gani? Kama unaogopa nipe kazi niwe mlinzi wake ili asikudhuru.
 
Enzi zetu za ujana hizo movies za kutisha tisha ndio zilikuwa za kupigia warembo...

Akijisogeza tu maskani basi unamuwekea hiyo midude bandika bandua...

Basi mlimbwende hapo lazima akukumbatie kwa sana, Mungu si mzee Mkumba by the time movie inaisha ile mikumbatio ya uoga inakuwa ishaanzisha safari ya kwenda milima ya Udzungwa...alaah!!!
 
Back
Top Bottom