Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
Nimenukuu kutoka kwa mdau mmoja kutoka kwenye chombo kimojawapo cha habari.
Kwa mtazamo wangu na uchunguzi wangu kwa kuunganisha Dot. Pamoja na inshu ya Sasa ndani ya CDM Kuna mambo mengi nahisi kuyaona.
Na chelea kusema kwa namna moja ama nyine Mh FAM anahusika na uwenda yupo pale kwa msaada wa system ya CCM ama serikali, kwa manufaa ya serikali.
Tukumbuke viongozi wengi wa vyama pinzani kwanzia Mwaka 1995 walipachikwa pachikwa na system ili kupima upepo baada ya kuingia mfumo wa vyama vingi.
Tuachane na hayo niende kwenye mada Moja kwa Moja ya kwanini nahisi uwenda Ben ni kweli ameuzwa na viongozi wake kwa magu. Kisha na kupotezwa, uwenda ni asilimia 99% alicho andika kabenadera ni ukweli tupu ndiyo maana alishikiliwa ili asije kusema ukweli kwa kile alicho kiona ambacho amekisema Sasa.
Kupitia maandiko haya nahisi kunasiri kubwa nyuma ya yote. Ndiyo maana Mh FAM hataki kuachia nafasi ya uwenyekiti kwa mwengine.
"" Leo wacha nikujuze Kidogo kuhusu BEN SAANANE
Kijana mwenye akili aliyeponzwa na kujua mambo mazito kaa rada nikujuze kistaarabu,Ben alikua mmoja wa maafisa waandamizi wa CHADEMA ambaye alibahatika kuwa na Siri Kuu za chama. Ni katika siri hizi ndizo zilizoweka rehani maisha yake.
2016, Freeman Mbowe alimteua Ben kuwa Msaidizi wake akimpa cheo cha ‘Executive Assistant’ wa Ofisi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.. Wakati huo huo, Ben Saanane alikuwa na Wadhifa wa Mkuu wa Sera na Utafiti wa CHADEMA hivi ndivyo safari ya kupotea Ben kwenye uso wa dunia inaanza.
Kwa kua ana akili na Kupitia nyadhifa zake hizo, Ben aliratibu na kusimamia mikakati na Operesheni kadhaa za chama ambazo ni pamoja na Mkakati wa Siri juu ya Zitto Kabwe mwaka 2013, Operesheni UKUTA ya Septemba 2016 na Operesheni KATA FUNUA ambayo utekelezaji wake haukufanyika.
Kwa ujumla, Ben alikua mmoja wa maafisa waandamizi wa CHADEMA ambaye alibahatika kuwa na Siri Kuu za chama.Siri nzito haswa achana na kina Martin walamba makalio wanajua juu juu huyu mtu alikua anajua kinaga.Ni katika siri hizi ndizo zilizoweka rehani maisha yake.
Agosti Mosi 2016, Ben alipewa jukumu maalum la kumuandama Rais Magufuli kwenye mitandao ya kijamii. Lengo la jukumu hili ni kuuandaa umma uamini kuwa lolote litakalomtokea Ben, watu wataamini kuwa ni kutokana na maandiko yake kwenye mitandao ya kijamii.
Wiki ya pili ya Mwezi Novemba 2016, Freeman Mbowe alimuandalia Ben safari ya kwenda Nchini Afrika ya Kusini Safari hii ilipaswa kufanyika Novemba 19, Ben alikua na mahusiano na Hilda Newton ndo alikua kimada wake Hilda anaweza thibitisha hili maana Ben alimwambia kuhusu safari.
Kabla ya safari hiyo, Ben alipewa na bosi wake mapumziko ya wiki moja ili akamilishe andiko la Operesheni KATA FUNUA ambalo lilikuwa katika hatua ya mwisho kukamilika. Pia alipewa maelekezo maalum ya kutowasiliana na watu wengine ili apate muda wa kukamilisha andiko hilo.
Aidha, Mbowe alimlipa Ben gharama zote za safari ambapo haikubainishwa ni kiasi gani na haijulikani alipaswa kuwa Afrika ya Kusini kwa siku ngapi na kwa majukumu yepi. Ni katika kipindi hicho ndipo ukimya wa Ben ulipoanza kuripotiwa.
Wakati Ben anaandaliwa kwenda Afrika ya Kusini, Mbowe na baadhi ya viongozi akiwemo John Mrema wakaandaa safari ya kwenda Uingereza. Ni ajabu kwa Mbowe kwenda Uingereza bila ya msaidizi wake wa karibu ushaona wapi yan boss aende Tanga msaidizi aenda bagamoyo michezo.
Watu walipoanza kuhoji Ben yupo wapi Novemba 26, 2016, Hilda Newton alijitokeza kuwajibu wale wote waliokuwa wanamtumia ujumbe kumuuliza alipo Ben . Katika ujumbe huo ambao aliandika kwenye ukurasa wake wa facebook,Hilda Newton alisema kuwa Ben Saanane yupo Afrika ya kusini na kwamba atarejea siku chache zijazo, Hilda maana ilikua inafahamika anadinywa na Ben watasha wa Chama walimtumq makusudi yeye atoe taarifa za Ben kurejea sababu ni utamu wake basi ataaminika.
Baadhi ya wafuasi wa CHADEMA walihoji sana andiko hilo. Familia ya Ben Saanane nayo ilishtushwa na andiko hilo kwani haiingii akilini Ben asafiri bila ya kutoa taarifa kwa familia yake.
Lakini inawezekana mtu kuaga kimada akamuacha mama love is strong.
Siku zikazidi Songa, Ben hapatikani popote si ndo ikabidi sasa Familia iibuke chamani kuhoji vipi? Walipofika Chaman aliyekua katibu mkuu wa Chama wakati ule Vincent Mashinji aliwaambia "Ben Yupo na anapiga kazi wawe wapole" siku zikazidi kwenda familia ikaone hii michezo.
Ndo wakaibukia polisi Polisi Tabata kutoa taarifa za kupotea kwa Ben. Hadi wakati huo, chama kiliendelea kuwa na msimamo kuwa Ben yupo salama na kwamba wasiwe na wasiwasi.
Ilikuaje Sasa Ben alipoenda Kwa madiba ikawa jumla jumla hadi leo ipo hiv Ben alisafiri na siri nyingi za Chama na binafsi za bwana yule alipangq kukutana na muandishi fulani Kule kwa madiba ili ammegee ayajuayo bahati mbaya akiwa katika harakati hilo lilijulikana akazimwa."" "
Kazi ni kwenu kuchanganua mambo