Nahisi panaelekea kukucha, inshu ya Ben Saanane huenda watu wengi wakahusika zaidi

Pia ingependeza kelele zingeanza mapema juu ya soka isiwe tena historia baada ya miaka kadhaa mbele kama ben 8
Kama mbowe ananukanuka harufu hii bora ajitoe tu kugombea uenyekiti, hataaminika tena na chama kitamfia vibaya
Kama ikibainika Mh FAM yupo kwa maslai ya CCM, basi anakosa haki ya kuwa mwenyekiti wangu
 
Umenifanya nitafakari kwa kina kupigwa risasi TAL.
 
Kwa hiyo ni kusema mwenyekiti wa chama alipewa vipande thelathini vya fedha kama alivyofanya Yuda Eskariot ili aseme Yesu mnazareth alipo?
Mimi sijui ila jiongeze.
 
Kama mbowe ananukanuka harufu hii bora ajitoe tu kugombea uenyekiti, hataaminika tena na chama kitamfia vibaya
Kama haujui malengo ya 'kivuruge', majukumu yake ndiyo mojawapo ndiyo hayo ya kukiua chama.

Raia wanachama wakighadhabishwa na kujiondoa na chama kufa, yeye pamoja na aliyemtuma watajihesabia ushindi.
 
Kabendela kashamaliza kilti. Ben saanane alichapwa risasi na jpm ikulu na maiti kutupwa mto rufiji
 
Kabendela kashamaliza kilti. Ben saanane alichapwa risasi na jpm ikulu na maiti kutupwa mto rufiji
Hapo kaelezea tukio la mwisho wa kifo cha saanane ila historia ikurudishe nyuma nani aliyeuza ramani ya saanane kwamba atasafiri kuelekea SA. Ina maana FAM moja kwa moja anaingizwa kwenye hii JINAI pasipo ubishi wowote.
 
Huu ndiyo ukweli
 
Inasikitisha sana
Kuna mchezo hapo,

Kama Ben alikatiwa Tiket na mwenyekiti je ilikua ya shirika gani la ndege?

Je Ben alichecheck in Au alipotelea uwanja wa ndege?

Kama Ben hakucheck in basi hakusafiri kwenda SA.

Mbowe ataje Ticket number ya Ben maana yeye Ndio alifanya Booking tufanye tracking kama Ben alichekin

Tuanzie hapo.
 
Acha uchuzi wewe, Kabendera kashamaliza kila kitu. Mambo yote hadharani.
 
kupotea kwa benSaa8 mbowe hawezi kukwepa kwamba hahusiki, anahusika kwa zaidi ya 90%. mpango mzima wa tukio hilo anaujua vizuri sana. mbowwe ni mole wa tiss ndani ya chadema. wapinzani halisi ndani ya chadema wawe makini Sana, wasimuamini mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…