Nahisi panaelekea kukucha, inshu ya Ben Saanane huenda watu wengi wakahusika zaidi

kupotea kwa benSaa8 mbowe hawezi kukwepa kwamba hahusiki, anahusika kwa zaidi ya 90%. mpango mzima wa tukio hilo anaujua vizuri sana. mbowwe ni mole wa tiss ndani ya chadema.
Kiukweli Kuna mengi, uwenda anatumika katika kupunguza wale wote wenye kuleta hatari kwa serikali dhaifu
 
Acha uchuzi wewe, Kabendera kashamaliza kila kitu. Mambo yote hadharani.
Je, ametaja kuhusu madalali ambao tunahisi wanahusika kwa namna Moja ama nyingine katika kufanikisha Mh. Rais kumpiga risasi ya kichwa Ben saanane
 
Ukweli haki ya Ben haiwezi kwenda hivi hivi. FAM najua kilichotokea. Dkt Magufuli hakuwa kabisa na muda na kudeal na kijana mdogo kama huyo kwanza tuliomfahamu Dkt Magufuli hakuwa mtu wa visasi na hakuwa katili alikuwa mpole sana mwenye hofu ya Mungu
 
Vipi umetumwa ?
 
Hahaha yaan yote Ayo ayafanye fam alaf system isijue au ndo ilimdhamini eti?asee safari ya Tanzania ni ndefu sana itakombolewa na kizazi kingine mbali sana uko Ccm noma sana sijui ni mwenge au kuna kafara flan imefanywa watu wanakuwa manyumbu kwa kiasi mpk kuwaza tu wanashindwa daily kuamini uzushi wa kifala Ivi, dash shit z til siku izi
 
Kwenye andiko refu hili kuna popote PhD ya mwamba limeandikwa?

Kama hamna, hili andiko lako ni batili!

Pascal Mayalla, Erythrocyte, Tlaatlaah, imhotep, JokaKuu, waliomo na wasiokuwamo au nasema uongo?
 
That’s the sad part kuna watu ni rahisi sana kuongopewa Tanzania na kuamini uongo.

Sasa utaongoza vipi nchi bila kudhibiti vyombo vya habari vinavyo promote uongo ni haki yao ya demokrasia.

Tanzania kila kitu rahisi.
 
Wewe unaamini katika lipi
 
Ben aliuawa nali FAM, lengo ku justify allegations zao kwa Dkt Magufuli, ila uzuri Dkt Magufuli hajawahi kushindwa hata ktk umauti wake bado anawasumbua wauaji wake na bado
Kwani Yesu aliuwa na nani kati ya Yuda na Erode
 
Mh, hatari 🤔🤔🤔
 
Luke 8:17

For there is nothing hidden that will not be disclosed, and nothing concealed that will not be known or brought out into the open.

Ni suala la muda tu.
Even Soka, Kibao inshu will be open soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…