Nahisi panaelekea kukucha, inshu ya Ben Saanane huenda watu wengi wakahusika zaidi

Wewe unaamini katika lipi

Naamini Magufuli hakuwa perfect ila sio kwa uzushi huu.

Vilevile naelewa bila ya mtu kama Magufuli, umaskini na umangi meza; yatabaki matatizo ya muda mrefu sana Tanzania.

Chukulia JF kama ndio middle class ya Tanzania, fikra zetu na middle class za nchi zilizoendelea ni sad to sąy the least.

Middle class ndio waendesha nchi za wenzetu.

Thinking yetu it’s so sad
 
Imagine kwa kuandika mambo ya kuhisi, kama ya kweli, ni majeruhi wangapi - ndugu na marafiki - unaoweza kuendelea kuwaumiza!
 
Damu ya mtu haipotei bure.......Mshana Jr huwa anasema Damu ya mtu huwa ina nane pale kwenye ardhi ilipomwagikia.

Ben hayupo laikini itaendelea kunena miaka mingine 1000 ijayo
 
Hizi mambo ukija kichwakichwa unachotwa akili, wale wa kule X (Twitter) tunajua sana mambo ya kusukuma reli, kama yamefika hadi huku aisee sio poa. Vijana wananunuliwa na kupewa maandiko nao huwaletea hadhira
 
Fikiria na changia ukiwa nje ya boksi ndiyo utaelewa
 
Imagine kwa kuandika mambo ya kuhisi, kama ya kweli, ni majeruhi wangapi - ndugu na marafiki - unaoweza kuendelea kuwaumiza!
Hapa ni kwakina great thinker tu siyo kwa Kila mtu.
 
Hizi mambo ukija kichwakichwa unachotwa akili, wale wa kule X (Twitter) tunajua sana mambo ya kusukuma reli, kama yamefika hadi huku aisee sio poa. Vijana wananunuliwa na kupewa maandiko nao huwaletea hadhira
Khasante kwa kuchangia
 
Damu ya mtu haipotei bure.......Mshana Jr huwa anasema Damu ya mtu huwa ina nane pale kwenye ardhi ilipomwagikia.

Ben hayupo laikini itaendelea kunena miaka mingine 1000 ijayo
Ndiyo ukweli wenyewe
 
Mambo ya X unaleta jf ,alafu unasema umetoa kwenye chombo cha habari,

Ya watu huko x ukiyabeba sana utapata sonona, yan Mbowe angekua karibu na Serikali ya jiwe angefanyiwa unyama wote ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…