Nahisi panaelekea kukucha, inshu ya Ben Saanane huenda watu wengi wakahusika zaidi

Dah jambo la kusikitisha sana ndugu yenu anapotea. Mnatamani basi hata kaburi lionekane kama amekufa. Wapi bwana ndo hivyo tena
 
Mambo ya X unaleta jf ,alafu unasema umetoa kwenye chombo cha habari,

Ya watu huko x ukiyabeba sana utapata sonona, yan Mbowe angekua karibu na Serikali ya jiwe angefanyiwa unyama wote ule.
Kwani X siyo chombo cha habari mkuu
 
Dah jambo la kusikitisha sana ndugu yenu anapotea. Mnatamani basi hata kaburi lionekane kama amekufa. Wapi bwana ndo hivyo tena
Kiukweli inauma sana, tena sana mkuu. Na ukiangalia uwenda angekuja kuwa tunu kwa Taifa
 
Imagine if that's the best of what a great thinker can do!
 
Ni mpumbavu pekeee ndo hatoamini ukatili wa magunga na kuamin mbowe ndo muuaji mfyuuu
 
Aise! Hii nchi ni ngumu sana.
Huenda na ajali ya TAL 2017 Bwana Makengeza alikuwa behind.
Hatua ya TAL kuvaa bullet proof harafu akasema kuna watu wanataka kumdhuru harafu wamsingizie Mwenyekiti kama walivyofanya kwa Chacha.
Si kwamba TAL alikuwa anamnyoshea kidole chairman wake kwamba ni shetani ndiye anahusika na mauaji?
Naona naota tu!
 
Rudi shule ukajifunze propaganda, hakuna mtu wa kununua huu utoto wako. Propaganda hizi outdated ziliweza kuteka wajinga wa enzi hizo sio sasa.
 
Inasikitisha lakini wenye mamlaka mbona wamekaa kimya hadi leo. No uchunguzi, umeandika pumba.
 
1. Bodyguard wa jiwe.
2. Mnikulu wa jiwe.
3. Walinzi wa jiwe.
4. Wafanyakazi wa ikulu enzi za jiwe

Miongoni mwa hawa walishuhudia ukatili wa jiwe akiutoa uhai wa ndugu yetu Ben Sa8
 
Ingekuwa Mbowe ndo anahusika sasa hivi angekuwa jela...

Kabendera kaweka wazi kila kitu
Kaweka kitu gani wazi wakati ushahidi unaonekana muuaji ni mbowe
 
Rudi shule ukajifunze propaganda, hakuna mtu wa kununua huu utoto wako. Propaganda hizi outdated ziliweza kuteka wajinga wa enzi hizo sio sasa.
Okay sawa, nashukuru kwa kuchangia
 
Kabendera kakuambia anawajua hata waliomteka na kumpeleka kwa Pilati ambaye alifyatua risasi na kumuua Saanane.

Mnataka nini zaidi ya tume tu?
 
Acha uchuzi wewe, Kabendera kashamaliza kila kitu. Mambo yote hadharani.
Wewe ni mbuzi kama mbuzi wengine, kama hukwenda shule hata filamu za kipelelezi huwa huangalii? Mfano kitu ni uchunguzi upi aliotoa Kabendera WA jinsi gani alikuwa!
 
Wewe ni mbuzi kama mbuzi wengine, kama hukwenda shule hata filamu za kipelelezi huwa huangalii? Mfano kitu ni uchunguzi upi aliotoa Kabendera WA jinsi gani alikuwa!
Kama umeumia sana tangulia mahakamani ili yakamwagike na mengine zaidi ya hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…