Nahisi Reginald Mengi ni billionaire wa (U$ dollars)

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,641
Habarini

Every year huyu jamaa anatoa misaada ambayo ina worth millions of dollars, tena ana kampuni ya uchimbaji Tanzanite (Tanzanite One)

Few years ago dewji alikuwa na networth ya dollar million 500, baada ya kuchukua mkopo leo hii ni billionaire within 5 years, je kwa mtu kama Mengi Au bakhressa asiwe billionaire.

Mm nahis watu kama akina bakhressa na Mengi ni U$ dollars billionaire sema 2 hawaja expose utajiri wao wote kwenye Forbes.

Au wadau mwaonaje
 
Mengi anatoa msaada kwa kujionyesha mbele ya jamii kam show off

...wabongo bhana..!!!? mtu akijifungia na mihela yàke anakula pekeyake anaonekana mbinafsi, akitoa msaada anajionyesha. Tuache jeuri ya kimaskini mwache ajionyeshe wakati maskini wanafaidika kuliko wanaojionyesha kwa kununua magari ya kifahari ....
 
atiii...ile milima ya upareni.....pale kwenye mkondo wa upepo.....wamefanyia exploration....kuna hazina ya kufa mtu....halafu ...pesha pimwa.....na title deed....anazo.... ........eti.
 
Anatokea Arusha kwani! Maana huko ndiyo mabilionea wanazaliwa ati
 
Mi nakubaliana sana na mzee Mengi amekua akitoa elimu ya biashara bureee ni akili yako tu kumtafsiri negatively
 
Nyumba za serikali au nyumba zilizodhulumiwa wakati wa udhalim?
Usijitoe ufahamu Magufurii ndo aliyezitoa izo nyumba kwa bei za kutupwa na kumuuzia yule hawara yake wa udism kwa Tsh. 176,000/= huku huyo binti si mtumishi wa serikali...maaaanina we bibi kizee
 

usibishane na huyo mfagia choo wa kanjibayi dewji hawezi kukuelewa kwa sababu wamesha mnywesha ile chai yao ndio maana mawazo yake yako kindondocha.
 
Mengi ni dalali tuu wa ardhi,Tanzanite one sii yake ni ya Ami Mpungwe mwenye multichoise,nbc tanzania.Mengi ni maneno tuu hana biashara sustainable zaidi ya bonite na itv vitu ambavyo bakhresa anavyo plus meli,boats,trucks viwanda msumbiji,rwanda,burundi,malawi,uganda.Forbes huwaapisha Mengi na Rostam tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…