ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Gem tafu....jamaa wanamkataa lkn yy hajui kama wamemkataa inabidi atulie ausome mchezo kwanza apeleleze atapata majibu. Biashara yyte kama huijui usikurupuke jifanye fala.....angeingia hata kwenye kuomba kibarua cha kutumwa kuvua ili azisome ABCD.Dah! Game gumu sana kitaa