Nahisi sina bahati na biashara

Nahisi sina bahati na biashara

Gem tafu....jamaa wanamkataa lkn yy hajui kama wamemkataa inabidi atulie ausome mchezo kwanzq apeleleze atapata majibu. Biashara yyte kama huijui usikurupuke jifanye fala.....angeingia hata kwenye kuomba kibarua cha kutumwa kuvua ili azisome ABCD
Aombe hata kibarua cha kukausha dagaa ajuane na wavuvi
 
Habari wakuu, nipo kwenye kisiwa cha maisome kilichopo Sengerema, nina mwezi sasa nafanya biashara ya uchuuzi wa samaki aina ya sato natoa huku napeleka Mwanza ila faida sipati kwasababu nilikuwa nachukua kwa walanguzi sio direct kutoka kwa wavuvi so faida ilikuwa inaishia kwenye malazi na usafiri, ndio nikashauriwa nitafute wavuvi niwadhamini nyavu, pumba na kuwakodishia mitumbwi ili waniuzie samaki kwa bei rahisi kidogo.

Aisee nina week zaidi ya mbili hapa wavuvi kuwapata imekuwa mziki, wote wako chini ya watu nazidi kula mtaji tuu nishaanza kukata na tamaa, kuna wavuvi nilifanyiwa connection kutoka kisiwa kingine nikaongea nao vizuri tuu waje nikawapa na offer nzuri but toka juzi wananiambia wameshakuja wapo ila nikiwaambia tuonane tuongee wananiambia wanakuja, muda unazidi kwenda hakuna ninachofanya yaani basi tuu haya maisha hayana maana, mtanisamehe kwa uandishi m'bovu, nipo confused.
Pole sana yote kheri! Siku yako yaja🙏🏾
 
Wiki mbili tu una lialia, Mimi nilifanya biashara miezi 9 hakuna ninachouza Cha maaana, zaidi nalipa Kodi laki mbili kwa mwezi. Nashukuru mungu sahizi biashara imechangamkaaaa nauza hadi 700k +kwa siku,
Huwezi kufanikiwa hadi upitie kwanza kwenye tanuru la moto!
 
Kwanini uliingia huko kwenye samaki na sio pengine ? Lazima kuna kitu kilikuvutia huko; cha maana anza mdogo mdogo kabla haujaanza kusafirisha labda uza locally (ila kama una soko; hilo ndio kila kitu jaribu kutunza soko, hata kama unatumiwa mpaka Mwanza au Unalangua Mwanza) as time goes on utaendelea kupata ujuzi na suppliers wazuri...

Unless kama tatizo biashara ipo saturated na wadau mpo wengi margins ndogo hence mnagawana umasikini (kama ndivyo basi kumbuka retreating is not surrendering)
 
Mkuu nilikua dar nina biashara flani ikafa nikaamua kuingia mkoani kusaka life nikaanzia tunduma mambo sikuyaelewa nikaenda mgodini chunya huko mambo sikuyaelewa pia nikaamua kuja mwanza nikaanza hii biashara nayenyewe ndio hivi yani acha tuu, toka dar watu wananiambia niende home nipate baraka ndio nirudi kupambana itabidi niende mkuu coz mara ya mwisho home nimeenda 2015.
Duh basi tatizo ushajua liko wapi...usikute hata hela ya sukari ulikuwa humtumii mama yako unategemea baraka utazipata wapi....hata simu usikute ulikuwa hupigi..anyway pole pambana
 
Wiki mbili tu una lialia, Mimi nilifanya biashara miezi 9 hakuna ninachouza Cha maaana, zaidi nalipa Kodi laki mbili kwa mwezi. Nashukuru mungu sahizi biashara imechangamkaaaa nauza hadi 700k +kwa siku,
Huwezi kufanikiwa hadi upitie kwanza kwenye tanuru la moto!
Mkuu kuna biashara nyingine huoni mwanga kabisa, ahsante kwa e
Duh basi tatizo ushajua liko wapi...usikute hata hela ya sukari ulikuwa humtumii mama yako unategemea baraka utazipata wapi....hata simu usikute ulikuwa hupigi..anyway pole pambana
Sio kweli usemalo mkuu.
 
Back
Top Bottom