Nahisi Viongozi wa juu wa Tanzania bara wamelishwa limbwata, hawaijali tena nchi yao

Nahisi Viongozi wa juu wa Tanzania bara wamelishwa limbwata, hawaijali tena nchi yao

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Hebu tuweke kwanza mapenzi ya vyama pembeni,

Hayati Magufuli alikuwa kiongozi mzalendo aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni mwake na sisi sote ni mashahidi kwa hilo

Lakini baada kufa kuna Viongozi wamekuja hawana hata uchungu na Tanzania bara,wamejaa porojo wameuza rasilimali zetu alizozipigania na kuzitete Rais magufuli hii yote sababu wao wanauraia wa inchi mbili,hawana uchungu na Tanzania bara

Hivi huko serikalini au viongozi wakubwa mmepewa limbwata?kilichobaki kila kitu mama,Mama,kwa lipi wakati nchi Tanzania bara inazidi kuteketea huku Zanzibar ikichanua
 
Ccm ni walewale
 

Attachments

  • IMG-20250613-WA0050.jpg
    IMG-20250613-WA0050.jpg
    109.3 KB · Views: 36
Deni la taifa tu ndio sio la mama

Kilakitu mama mama

Masikini na huyo mama mwenyewe kweli haoni ujinga wa wapambe nuksi!!
 
Hao tayari wameshahongwa. Hivyo hawawezi kamwe kuinua midomo yao kusema chochote. Hao watabakia tu kuwa wasaliti kama Yuda Iskarioti, maisha yao yote.
 
Back
Top Bottom