Nahisi Watu kupotea ovyo inatokana na Sababu 3 tu!

Nahisi Watu kupotea ovyo inatokana na Sababu 3 tu!

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
583
Reaction score
590
Habari wakuu,

Mimi nimefuatilia kwa muda idadi ya watu wanaopotea nchini nikabaini mambo matatu. Kuna masuala inabidi Wizara ya Mambo ya ndani isimame na kuanzisha kitengo ambacho kitasafisha jeshi ka polisi.

Jamani watu wanapotea kwasababu 3 tu

1. Ushirikina, tunaingia mwaka uchaguzi nadhani mnaelewa (hii ni kwa watoto)

2. Utapeli, jamani Tanzania mtu akikutapeli hutopata msaada kokote. Sio Polisi wala Mahakama, inabidi ili umshtaki ni mpaka apatikane. Na polisi hakusaidi kumkata tapeli sio kitengo chao.

Sasa kwa bahati mbaya watu wakitapeliwa huwa wanatumia njia zao binafsi kama kuajiri majambazi wakukamate na wadeal na wewe, jamaa wawili wamepotea nawafahamu na shida ni hiyo maana ata me walijatibu kunitapeli nikastuka.

Na kesi za utapeli ni nyigi sababu maisha yamekuwa magumu. Na ili tupate watu ku-invest kweli Tanzania inabidi wizara ya mambo ya ndani ifungue kitengo kupambana na matapeli. Ni wengi mno!

3. Jazba! Tujitahidi sana kwenye mitandao tusiwakejeli watu ovyo, kuna watu wengine humu ni majambazi 🤣 nyie mnatukanana tu mwenzako kuua ni kama kuwashanl kibiriti. Kuna vijana nawajua wawili wamedhuruka mtandaoni twitter sababu ya kutukanana na watu mtandaoni, mmoja ni mdada walimuua kabisa, mwingine kanusurika kuuliwa juzi tu, ukifuatilia unaona ni maugomvi ya mtandaoni.

Kupunguza haya matukio wizara ya mambo ya ndani iunde kikundi athari zake ni Polisi wenu hawaaminiki lakini ukweli mnaujua, serikali haijawahi hitaji kumteka mtu eti kisa katukana, hao ni watu binafsi walio na hasira na mhusika.

Pia soma:
 
Vipi yule kiongozi aliesema tukiwapoteza polisi msiwatafute awezi kua Moja ya sababu
Hii inaingia namba 3, we umemtukana kiongozi wa vyama fulani na ana vijana wake waikubananisha unaanza kulaumu serikali
 
Watu wanapita na upepo huo
Ukidhulumu unatekwa...
Kwa sababu kuna wale wanateka
Kwanini na wao wasiteke

Ova
 
Sema tapeli kumkabili kisheria ni ngumu dawa ya kukomesha ni kudeal nao kimya kimya
 
Na mashangazi, mfano yule diwani wa Kawe aliyefichwa Tabata,
1ngekuwa wa Chadema, wangesema ametekwa
 
Back
Top Bottom