Nahisi Watu kupotea ovyo inatokana na Sababu 3 tu!

Sababu kubwa ni hiyo ya utapeli. Hili suala limeota mizizi. Kwa mfano kuna chama kilichangisha watanzania mamilioni ya fedha kwenye kampeni yao ya JOIN THE CHAIN ila hadi leo haijulikani hela zilipoenda. Chief Odemba alishajitahidi kuuliza karibu viongozi wote wa hicho chama karibu wote wanasema hawajui na hawahusiki na mambo ya fedha. Kiongozi mmoja aliyetambulika kwa jina la Lema aliishia kumwita Odemba kuwa ni mkuda.
 
Ww kwenye hizo sababu zao kuna vijana wawili tu unawajua, mbona huna mfano wa vijana wanne au watano? Ni hivi, kuwa vyombo vya dola vinahusika kuteka watu hilo wala halina mjadala, na lilipaswa kuwa namba moja kwenye sababu zako. Hivyo tafuta wasiojua lolote uwape hizi sababu zako za kubumba.
 
Utetezi mdogo sana,ama nawe ni mhusikaa?
 
Kuna mwandishi mmoja wa Habari anaitwa BALILE D. katika malumbano ya hoja pale ITV aliwahi kusema ktk serikali ya awamu ya tano ya JP Magufuli utekaji na watu kupotea viliwatesa watu na serikali ya Magufuli ilihusika,na akaendelea kusema kuwa mama SAMIA ameupiga mwingi maana sasa watanzania wako kwenye mikono salama hakuna utekaji,hakuna watu kupotea tena kama ilivyokuwa kwenye serikali ya Magufuli.Kama huyu ndugu yetu Bwana Deogratias BALILE angekuwa anasikia matukio haya naamin angetusaidia sana kujua haya ya utekaji na watu kupotea yametoka wapi katika awamu ambayo mama yake na D.Balile ameupiga mwingi.NB.Tukialikwa kwenye platform za mazungumzo tuwe tunaweka akina ya maneno itatulinda mbeleni.
 
Toka Peter Msigwa kununuliwa CCM matukio ya kutekwa na kupotezwa viongozi wa Chadema yameongezeka sana.
Na ni Msigwa huyu aliyewaingiza chaka Polisi hadi wakatoa tamko la uongo kuwa Chadema wanapanga kwenda kuvamia vituo vya Polisi. Msigwa ni mtu wa hovyo sana yuko tayari kusema lolote baya kuhusu Chadema ili aendelee kuaminiwa na mabwana zake waliomnunua kwa $500,000.
 
Jamaa ni mwehu sana, kama hajalipwa na watekaji kuanzisha huu uzi, basi jamaa ni mwehu mara mbili.
Jamaa ni mwehu sana, kama hajalipwa na watekaji kuanzisha huu uzi, basi jamaa ni mwehu mara mbili.


Sababu ni zile zile, ushirikina, visasi na utapeli. Nimekaa paleee mtakuja kunieleza humu humu kwenye hii thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…