GodIsGoodAllTheTime
New Member
- Apr 19, 2025
- 3
- 4
Zingatia maokoto.Habari zenu waungwana.
Nina ndoa ya kikristo. Ninahitaji huyu mwanamke niliye naye atambulike, hasa kwaajili ya benefits flani kutoka ofisini.
Amejifungua muda sio mrefu, chata yangu kabisa. Nifanyeje ili ndoa tutakayofunga iwe ya halali? Kataa ndoa naombeni mkae pembeni kidogo. Shukran.
Bible yote inazungumzia mafundisho ya Yesu?Mbona yesu hakuwahi kuwafundisha kuhusu ndoa mmeitoa wapi nyie? Nileteeni andiko yesu akielekeza watu waoe
Mathayo 19Mbona yesu hakuwahi kuwafundisha kuhusu ndoa mmeitoa wapi nyie? Nileteeni andiko yesu akielekeza watu waoe
Hiki ndicho ninachotaka, iwe halalai ili process zingine za kiofisi ziendelee, kwasababu haitowezekana kama ndoa itakuwa sio halali. Kwa anayejua namna ya ku navigate hili tafadhali. Shukran.Oa Sasa Kwenye Uhalali Wa Kutambulika Hata Na Mke Uliyenaye Ndiyo Pagumu
Lazima Che Che Zitoke
Huyo mi Mathayo ndo kasema na siyo Yesu bado hujajibu swaliMathayo 19
3 Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe kwa kila sababu?
4 Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke,
5 akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
6 Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.
7 Wakamwambia, Jinsi gani basi Musa aliamuru kumpa hati ya talaka, na kumwacha?
8 Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.
9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
10 Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa hivyo, haifai kuoa.
11 Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, ila wale waliojaliwa.
Acha uongo, nikikuonyeshe mafundisho ya Ndoa Toka Kwa YESU??.Mbona yesu hakuwahi kuwafundisha kuhusu ndoa mmeitoa wapi nyie? Nileteeni andiko yesu akielekeza watu waoe
Hilo bichwa umelitia nn?.Huyo mi Mathayo ndo kasema na siyo Yesu bado hujajibu swali
Unionyeshe andiko kutoka wapi? Mpumbavu mmoja weweAcha uongo, nikikuonyeshe mafundisho ya Ndoa Toka Kwa YESU??.
Mjinga Mmoja wewe
Bible au Biblia ni nini? Mmetoa wapi kitabu kinachoitwa Biblia wakati hata yesu hakifahamu wala maandiko hayatambui kitu kinachoitwa Biblia?Bible yote inazungumzia mafundisho ya Yesu?
Mwanzo pia inahusu Yesu?
Wewe Jinga kabisa, Hilo bichwa umejaza matope ya kuvukia Barabara?.Unionyeshe andiko kutoka wapi? Mpumbavu mmoja wewe
Huo utopolo mnaouita Biblia mmeutoa wapi? Yesu mwenyewe hafahamu kitu kinachoitwa Biblia wala hakua andiko linalotaja Biblia, ndo unataka kuleta mafundisho kutoka kwenye hicho kitabu cha uzushi au kutoka kwenye Injili?Wewe Jinga kabisa, Hilo bichwa umejaza matope ya kuvukia Barabara?.
Wewe siumetaka Mafundisho ya Yesu kuhusu Ndoa au??.
Maelezo yanajieleza kijanaHuyo mi Mathayo ndo kasema na siyo Yesu bado hujajibu swali
Ana majibu yake kichwani ni muhimu kumuacha na majibu aliyonayoMaelezo yanajieleza kijana