Ruksa, hakuna andiko lolote kwenye Biblia linaharamisha kuoa mke zaidi ya mmoja ni mapokeo tu.Habari zenu waungwana.
Nina ndoa ya kikristo. Ninahitaji huyu mwanamke niliye naye atambulike, hasa kwaajili ya benefits flani kutoka ofisini.
Amejifungua muda sio mrefu, chata yangu kabisa. Nifanyeje ili ndoa tutakayofunga iwe ya halali? Kataa ndoa naombeni mkae pembeni kidogo. Shukran.
mchepuko unakuelekeza kibla, amka usingizini kabla hujapigwa na kitu kizito.Habari zenu waungwana.
Nina ndoa ya kikristo. Ninahitaji huyu mwanamke niliye naye atambulike, hasa kwaajili ya benefits flani kutoka ofisini.
Amejifungua muda sio mrefu, chata yangu kabisa. Nifanyeje ili ndoa tutakayofunga iwe ya halali? Kataa ndoa naombeni mkae pembeni kidogo. Shukran.
God Is Good All The Time....Habari zenu waungwana.
Nina ndoa ya kikristo. Ninahitaji huyu mwanamke niliye naye atambulike, hasa kwaajili ya benefits flani kutoka ofisini.
Amejifungua muda sio mrefu, chata yangu kabisa. Nifanyeje ili ndoa tutakayofunga iwe ya halali? Kataa ndoa naombeni mkae pembeni kidogo. Shukran.
wa pili funga nae ndoa ya kimilaHabari zenu waungwana.