Nahitahi kuongeza mke wa pili, nina ndoa ya Kikristo

Ruksa, hakuna andiko lolote kwenye Biblia linaharamisha kuoa mke zaidi ya mmoja ni mapokeo tu.
 
mchepuko unakuelekeza kibla, amka usingizini kabla hujapigwa na kitu kizito.
 
God Is Good All The Time....
 
Hamia feel free church kwa masanja
Hakuna shida yoyote wanafungisha
 
wa pili funga nae ndoa ya kimila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…