Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
Nenda kalime nyanya au pillipili kama siyo kufuga lau kuku. Ajira wakati mwingine ni utumwa hasa hizi ndogo ndogo.Habari Wana jf mm ni kijana mwenye umri wa miaka 23(ke) nahitaj ajira ambazo zipo au kwa wale wanaohitaj wafanyakazi kazi yoyote nafanya na elimu ya form 4 tusaidiane ntashukuru kwa muajir ikifanikiwa
No;0750302068
Sawa ntafatilia ipi sawaNenda kalime nyanya au pillipili kama siyo kufuga lau kuku. Ajira wakati mwingine ni utumwa hasa hizi ndogo ndogo.
NdioUna uhakika kazi yeyote utafanya?
Wapi Nipo nimefika adi sixNjoo unisaidie kulea watoto kwa elimu hiyo.
hata kazi ya bar?Ndio