Habari zenu wana JF.Mi ni m'ke(28yrs) ni mtumish wa umma.nahtaj mume.nimelazimika kuandka post hii jukwaan kwasababu real am in need of some1 to make a family wt.nimeajiriwa ktk wilaya moja ambayo ukweli hakuna xposure kabsaa.
unahitaj mwanamme wa sifa zipi? coz hata 4m2 wapo wanaume, au hata awe kichaa ilimradi umepata mme? funguka upate mme bora bt ka ndo hivo utapata magumegume.
Yaani ishu wala sio wilaya, hata sie humu Dsm exposed spouse hakuna kabisaaaa!!!!!!!!!!! Nakuombea upate umpendae maana fazaiko la moyo si mchezo!

Mkristu,(hofu ya Mungu ndani yake)mwenye shughul halali yenye kuingiza kipato(employed/not employed)umri 30 yrs n above,mwenye kujitambua.elim kuanzia dploma/form 6 n abov mi ni graduate so tsiachane kivle etc.
so hakuna vigezo wala masharti co?
Bahati zinanipita hivi hivi, nipo kwenye mapumziko ya kuwa na mwanamke baada ya kuchimbwa mkwara.
Habari zenu wana JF.Mi ni m'ke(28yrs) ni mtumish wa umma.nahtaj mume.nimelazimika kuandka post hii jukwaan kwasababu real am in need of some1 to make a family wt.nimeajiriwa ktk wilaya moja ambayo ukweli hakuna xposure kabsaa.
Habari zenu wana JF.Mi ni m'ke(28yrs) ni mtumish wa umma.nahtaj mume.nimelazimika kuandka post hii jukwaan kwasababu real am in need of some1 to make a family wt.nimeajiriwa ktk wilaya moja ambayo ukweli hakuna xposure kabsaa.
Habari zenu wana JF.Mi ni m'ke(28yrs) ni mtumish wa umma.nahtaj mume.nimelazimika kuandka post hii jukwaan kwasababu real am in need of some1 to make a family wt.nimeajiriwa ktk wilaya moja ambayo ukweli hakuna xposure kabsaa.
Mimi huyu huyu....?!!eeeeh! mi nakutaka wewe tu!!
Weka picha acha longolongo
Yaani ishu wala sio wilaya, hata sie humu Dsm exposed spouse hakuna kabisaaaa!!!!!!!!!!! Nakuombea upate umpendae maana fazaiko la moyo si mchezo!
... usiogope mwaya,kama vipi vua nguo kabisa ili usigeuke nyuma,maana nilisikia waswahili wanasema maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge hata kama ni ya moto sana au ya baridi sana...umeona eeh!fazaiko la moyo noma lara.