Nahitaj mume!

Nahitaj mume!

Hama wilayani njoo Dar kama unaona huko uliko hamna exposure sana ya kutosha.
Ni swala la kisaikolojia zaidi kuliko vinginevyo.
Tulizana tu mbona mda wako bado mama?
Au unawahi mahali?
 
Habari zenu wana JF.Mi ni m'ke(28yrs) ni mtumish wa umma.nahtaj mume.nimelazimika kuandka post hii jukwaan kwasababu real am in need of some1 to make a family wt.nimeajiriwa ktk wilaya moja ambayo ukweli hakuna xposure kabsaa.

Kariiiibu KIMBOKA au AMBIANCE kwa mwendo wa tanita, mbona maje,me ya shughuli tupo tele, kwani POPO mara nyingine wanatutesa xana.
 
Yaani ishu wala sio wilaya, hata sie humu Dsm exposed spouse hakuna kabisaaaa!!!!!!!!!!! Nakuombea upate umpendae maana fazaiko la moyo si mchezo!
vp yule uliyesema mbwiga je ulimkubalia? mwaga data na je ushauri wangu uliuonaje?
 
Back
Top Bottom