Hama wilayani njoo Dar kama unaona huko uliko hamna exposure sana ya kutosha.
Ni swala la kisaikolojia zaidi kuliko vinginevyo.
Tulizana tu mbona mda wako bado mama?
Au unawahi mahali?
Habari zenu wana JF.Mi ni m'ke(28yrs) ni mtumish wa umma.nahtaj mume.nimelazimika kuandka post hii jukwaan kwasababu real am in need of some1 to make a family wt.nimeajiriwa ktk wilaya moja ambayo ukweli hakuna xposure kabsaa.