Nahitaj wazo lako ktk hili!

Nahitaj wazo lako ktk hili!

Babu mchumi

Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
62
Reaction score
11
Habari zenu tha great thinkers!
Tafadhalin nimeckia kuna mashine za kuongeza uume ambazo hazina madhara kiafya,hv ni kweli?kama ni kwel zinapatikana wapi?nahitaj mawazo yenu wapendwa!
 
dawa zipo ina uume utakuwa haifanyi kazi...wewe si unataka uwe mkubwa tu? ni pm
 
hakuna k2 km hicho. Hata kama una kibamia ufundi unatosha kumridhisha mkeo. Mashine kubwa sio deal kama hujui manjonjo
 
Magomeni kuna mtaalamu wa kuchanjia, akikupa dawa yake saizi ndogo kabisa inaanzia chupa ya bia ya safari hiyo ni kwa upana, urefu ni kuanzia kidole gumba cha mguuni hadi kule unakoishia unyayo. Yaani jamaa ni kiboko! nimekutana na watu sita waliopata huduma hiyo. Yuko mwanzo tu kabla hujafika mapipa uliza maeneo hayo mtaalamu wa kukuza nanihiii!
 
hakuna k2 km hicho. Hata kama una kibamia ufundi unatosha kumridhisha mkeo. Mashine kubwa sio deal kama hujui manjonjo
Hapo umenena bro. Madude makubwa huwa hayana dili, we kama hujui mautundu utabakia kujisifu na kujisifu tu kuwa una mashine kubwa lakini mpenzi wako hafaidi.
 
Habari zenu tha great thinkers!Tafadhalin nimeckia kuna mashine za kuongeza uume ambazo hazina madhara kiafya,hv ni kweli?kama ni kwel zinapatikana wapi?nahitaj mawazo yenu wapendwa!
Mkubwa umepata deal la kucheza movie za x nin? cjapata logic ya wewe kukuza hiyo kitu!
 
Usisikilize story za vijiweni heri ubaki na hicho ulichonacho kuliko ujibebeshe zigo kuuubwa ambalo halifanyi kazi yaani "mgosi agona" hahahahahahahaah
 
Mmmh! Mambo mengine kwa kweli......! Sasa hilo zigo likiwa kubwa alafu likakuzidia?? Sometimes tuwe tunafikiria mara mbili mbili jamani, hizi biashara za watu zisitupumbaze!!
 
Ktk creation/uumbaji,mungu hakukosea ata ile chembe1 na kila alichoumba kwake aliona ni CHEMA! Sasa unamkosoa god? ....Achana kabisa na masifa ya vijiweni. Utaongeza uume kwa 20,000/-,but madhara yake na garama za tiba yake ni 1000 times ya hiyo!
Ushauri wangu: keep and leave the original then omba ushauri kwa watalaamu ili wakujuze jinsi ya kuitumia hiyo mashine yako ambayo wewe unaiona ni KIDUCHU sana!
 
ahahahahaha Nataka paja mie hakinitoshi kipapatio, Babu Mchumi naona nibora ungepata mtu wako wakaribu akakufundisha manjonjo kuliko kuongeza mzigo usokua na faida, ungekua mwanamke ningekwambia wapi uende ukajifunze manjonjo lakini ni mwanamme sijui ntakusaidiaje,lakini am sure ukionana na Badili Tabia ni mwingi wa mambo ataweza kukusaidi japo matatu au mnne.
 
Dudu kubwa ya nini? Kachanjie dodoki. Ahaha hapana mkuu. Achana na wachina, ridhika na dudu aliyokupa Mungu.
 
Ukifanya hivyo lazima madhara yatakuja maana hilo sio jambo la kawaida kabisa na wataalamu wamethibitisha kuwa yako madhara na kwa hivyo usijaribu kufanya hivyo kabisa ukiwa na busara
 
Magomeni kuna mtaalamu wa kuchanjia, akikupa dawa yake saizi ndogo kabisa inaanzia chupa ya bia ya safari hiyo ni kwa upana, urefu ni kuanzia kidole gumba cha mguuni hadi kule unakoishia unyayo. Yaani jamaa ni kiboko! nimekutana na watu sita waliopata huduma hiyo. Yuko mwanzo tu kabla hujafika mapipa uliza maeneo hayo mtaalamu wa kukuza nanihiii!

Mkuu tafadhali fafanua kabla hujafika mapipa ukitokea wapi?
 
Unataka mguu wa mtoto ha ha ha ha ha ha ha,fanya moyo unavyopenda ndungu!!!!
 
Habari zenu tha great thinkers!
Tafadhalin nimeckia kuna mashine za kuongeza uume ambazo hazina madhara kiafya,hv ni kweli?kama ni kwel zinapatikana wapi?nahitaj mawazo yenu wapendwa!
Jamani kwanza tumuulize sasa hivi anayo nchi ngapi na anataka iweje,............Je kwa sasa ni nusu nchi??? au millimita moja awe muwazi ili asaidiwe ki mawazo.
 
Back
Top Bottom