Nahitaji App developer au company inayodeal na utengenezaji wa Apps.
Nna mfadhili anataka kunipa support kwenye app yangu.
Mimi ni Muanzilishi wa Kuku Care Tanzania.
Tunauza herbs na spices Maalum za kutibu na kukinga magonjwa mbalimbali ya Kuku, kupandisha immunity na kupunguza gharama za Ufugaji na usalama kwa mlaji.