Habari zenu mabibi na mabwana. Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza, Nahitaji ardhi yenye rutuba hata kama ina mapori.
Ikiwa na channel ya umwagiliaji au kua karibu na mto ntashukuru zaidi. Napendelea maeneo ya bushi kidogo kwani sina ela ya kupgana vikumbo na matari mijini. Nahitaji kwa ajili ya kilimo na ufugaji.
Natamani zaidi maeneo ya Tanga, Pwani au Simanjiro/manyara. Wenye uzoefu au waonaojua maeneo nyenye sifa nlizotaja hapo juu tafadhali naombeni taarifa hapa au PM.
Asanteni.