Habari zenu mabibi na mabwana. Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza, Nahitaji ardhi yenye rutuba hata kama ina mapori.
Ikiwa na channel ya umwagiliaji au kua karibu na mto ntashukuru zaidi. Napendelea maeneo ya bushi kidogo kwani sina ela ya kupgana vikumbo na matari mijini. Nahitaji kwa ajili ya kilimo na ufugaji.
Natamani zaidi maeneo ya Tanga, Pwani au Simanjiro/manyara. Wenye uzoefu au waonaojua maeneo nyenye sifa nlizotaja hapo juu tafadhali naombeni taarifa hapa au PM.
Asanteni.
Bei sh ngap boss hujaelewekaKuna uzi niliweka wa shamba Kisarawe ekari 47 zenye hati kwa 10. Hii bei inaweza kupungua na unaweza kulipa kwa awamu pia
Mkuu karibu Handeni kwasunga Heka moja n 300k tuuHabari zenu mabibi na mabwana. Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza, Nahitaji ardhi yenye rutuba hata kama ina mapori.
Ikiwa na channel ya umwagiliaji au kua karibu na mto ntashukuru zaidi. Napendelea maeneo ya bushi kidogo kwani sina ela ya kupgana vikumbo na matari mijini. Nahitaji kwa ajili ya kilimo na ufugaji.
Natamani zaidi maeneo ya Tanga, Pwani au Simanjiro/manyara. Wenye uzoefu au waonaojua maeneo nyenye sifa nlizotaja hapo juu tafadhali naombeni taarifa hapa au PM.
Asanteni.
10m kwa zote au moja ,mojaSorry.Ni milioni 10 ila unaweza kumshusha
Heka 100 zinafika ?Mkuu karibu Handeni kwasunga Heka moja n 300k tuu
Kwasunga hii hauifiki Handeni mjini km unatokea Dsm ..Unaenda mpaka wami bridge ukishapita wami kwa mbele kidogo kuna sehemu inaitwa mandera kuna barabara iko upande wa kulia ..
Kutoka hapo mandera mpaka kwasunga ni 30km ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu watu wamezishambulia sana zimebaki km 8 ...ila maeneo jirani mashamba yapoHeka 100 zinafika ?
Kuna chanzo cha maji karibu?Kuna uzi niliweka wa shamba Kisarawe ekari 47 zenye hati kwa 10. Hii bei inaweza kupungua na unaweza kulipa kwa awamu
Shingap kukodi?Fika Korogwe Kodi kwanza then baadae utanunua. Maji ni ya uhakika, barabara ipo nearby. Flat land
Maji yapo huko?Mkuu karibu Handeni kwasunga Heka moja n 300k tuu