Nahitaji bei ya mitumba ya vikoti vya like,suruali na magauni ya kina dada

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,951
Naomba kujua bei ya mitumba ya kina Dada ...suruali,blaus na vikoti na vinapatikana wapi kwa DSM,nahitaji haraka!
 
Robota au au nguo moja moja (pieces)?? kama robota nenda maeneo ya mnazi mmoja, bei zinatofautiana kama ni mtumba Namba 1 au 2, na lebo ( yaani kampuni inayofanya packing mfano Kapadia, Tembo, nk
Kama ni pieces nenda Ilala boma, mnada unaanza saa 12 asubuhi mpaka kwenye saa 4 asubuhi.
 
Ahsante sana kiongozi,nataka robota
 
Robota au au nguo moja moja (pieces)?? kama robota nenda maeneo ya mnazi mmoja, bei zinatofautiana kama ni mtumba Namba 1 au 2, na lebo ( yaani kampuni inayofanya packing mfano Kapadia, Tembo, nk
Kama ni pieces nenda Ilala boma, mnada unaanza saa 12 asubuhi mpaka kwenye saa 4 asubuhi.
Ahsante sana kiongozi,nataka robota ,naandaa safari.
 
Mkuu nakushauri usinunue robota Nenda Ilala au karume vinamwagwa buku mpk buku Mbili. Robota unaweza kuta nguo Pc 500 wakati nzuri ni PC 100
 
Back
Top Bottom