Ahsante sana kiongozi,nataka robotaRobota au au nguo moja moja (pieces)?? kama robota nenda maeneo ya mnazi mmoja, bei zinatofautiana kama ni mtumba Namba 1 au 2, na lebo ( yaani kampuni inayofanya packing mfano Kapadia, Tembo, nk
Kama ni pieces nenda Ilala boma, mnada unaanza saa 12 asubuhi mpaka kwenye saa 4 asubuhi.
Ahsante sana kiongozi,nataka robota ,naandaa safari.Robota au au nguo moja moja (pieces)?? kama robota nenda maeneo ya mnazi mmoja, bei zinatofautiana kama ni mtumba Namba 1 au 2, na lebo ( yaani kampuni inayofanya packing mfano Kapadia, Tembo, nk
Kama ni pieces nenda Ilala boma, mnada unaanza saa 12 asubuhi mpaka kwenye saa 4 asubuhi.
Mkuu nakushauri usinunue robota Nenda Ilala au karume vinamwagwa buku mpk buku Mbili. Robota unaweza kuta nguo Pc 500 wakati nzuri ni PC 100Ahsante sana kiongozi,nataka robota ,naandaa safari.
Ahsante kwa ushauri ...ubarikiweMkuu nakushauri usinunue robota Nenda Ilala au karume vinamwagwa buku mpk buku Mbili. Robota unaweza kuta nguo Pc 500 wakati nzuri ni PC 100